Uuzaji nyumba za Serikali , Ununuzi kivuko , kuna pesa zilipotea Wizara ya Ujenzi na Ujenzi wa barabara nyembamba toka Ubungo mpaka magomeni , kule UDOM mwanae bado yupo lakini wale wa masikini vilaza wapo Mtaani wanataabika , NSSF bajeti ya Ujenzi wa daraja la Kigamboni ilizidishwa mara dufu nk.Ukisema hivyo hata JPM alikuwa Waziri kipindi cha JK; kwa hiyo naye sijui tusemeje kuhusu madudu yaliyofanyika wakati akiwa mmoja katika baraza la mawaziri?!
Anajipanga mkuu Dili la sukari limemchanganya sana baada ya kugundua kuwa wajanja wa town wamemzunguka .Ila kusema ukweli Majaliwa kapotea, pengine amepangiwa majukumu mengine[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Same tu amejifunza kwamba style alianza nayo alikuwa anachemka,siku hizi anafanya kazi yake vizuri bila makeke. Awafunze walioko chini yake kuheshimu watumishi wa umma.Hapana mkuu majukum ya wazr yapo pia yacyo.ya halaiki huwez kfanya kaz za office hku unapga mayowe
GADO nimemvulia kofia[emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 360516
Anawaza yasije yakamkuta
Duh, Umenikumbusha..Nilianza kusahau kama kuna waziri mkuuSiku za kwanza za uteuzi wake tuliona mh.akizunguka huku na kule kutumbua majipu hali iliyopelekea watendaji wa serikali kushikwa na kihoro. Muda umepita sasa sijasikia kasi ya mh. wetu, najiuliza yuko wapi? Nini kimekufanya upoe mkuu majipu bado hayajaisha, sisi wananchi bado tuna imani na wewe