Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa EWURA

Ndahani,

..nimeweka tangazo lilitoka wakati wa uteuzi wa DG wa Ewura.

..anateuliwa na Waziri wa Maji. Kwa hivyo basi mamlaka yake ya nidhamu ni Waziri wa Maji.

..mchakato wa kumpata DG wa Ewura ni wa ushindani. Nafasi hiyo hutangazwa kwenye vyombo vya habari.

..Baada ya hapo usaili hufanyika na majina ya walioshinda hupelekwa kwa waziri kwa ajili ya uteuzi.




The Minister for Water, Prof. Jumanne Maghembe, has appointed Felix Ngamlagosi as a new Director General of the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA), with effect from 1st February 2014.

Mr. Ngamlagosi fills in the vacancy left by Mr. Haruna Masebu, whose tenure ended on 31st December 2013, after serving the Authority for two, four-year terms as required by EWURA Act.

Before his appointment, Mr. Ngamlagosi was the Director of Regulatory Economics at EWURA, the post he has been holding for seven years.

Mr. Ngamlagosi is a holder of MSc. in Economics from Moscow Finance Academy, Russia (1990 – 1996); Post Graduate Diploma in Policy and Project Planning from the Institute of Social Studies (ISS), The Hague – Netherlands (year 2000); Full Technician Certificate in Water Engineering from the Water Resources Institute (1984 – 1987); and is a Certified Regulation Specialist, an award jointly conferred by the Institute for Public Private Partnerships (IP3) of Washington, United States of America; and the Water, Engineering and Development Centre of Loughborough University (WEDC/LU) of the United Kingdom (2013).

He is an expert in energy and water utilities regulation, with major bias in competitive pricing of services, monitoring utilities, providing consumer protection, and creating communication channels with stakeholders in the electricity, petroleum, natural gas and water sectors.

Prior to joining EWURA, Mr. Ngamlagosi worked with the Ministry of Water, Energy and Minerals and thereafter the Ministry of Water for total of 17 years in various capacities, rising through the ranks to Senior Economist.

He also contributed as a co-expert in water sector public expenditure reviews by the Economic and Social Research Foundation (2001 – 2002) and by the Economic Research Bureau (ERB) of the University of Dar Es Salaam (2003 – 2005).

With his vast experience in sectors regulated by EWURA, Mr. Ngamlagosi is expected to perform the duties and functions of the Director General competently and honestly.
Nafikiri Ewura ina mandate zenye kuingiliana na wizara ya Nishati. Pengine ndio maana inakuwa ngumu kujua wapi wanakoegemea
 
Ina maana Mhe. Majaliwa hana msemaji wa ofisi ya waziri mkuu? Mbona taarifa za maamuzi yake zinatolewa na press secretary wa ikulu Gerson Msigwa???
 
Na huo mkataba uliosainiwa tangu mwaka 1994 ambao unaishia mwaka 2022 unavunjwa pia? je ukivunjwa nini kitatokea? na je waliohusika kusaini mkataba huo mwaka 1994 kuna yeyote aliyechukuliwa hatua?
Rais Kashasema waliotuingiza chaka wahojiwe kwanini walifanya hivyo,na wakiwa na hatia basi watapelekwa jela,ila kitendo cha JPM kutaka mwanaharakati mwenye cheni ya gold na vasco waachwe wapumzike basi kashaaribu kila kitu na ndio maana Nyoka mwenye makengeza akatoka hadharani kuwakejeli.
 
Habari Wakuu Naomba Kufahamu huyu Mkurugenzi yupo wapi KWA sasa? Je alirudishwa EWURA,au alipewa nafasi Nyingine Serikalini?...Maana alisimimishwa tu kazi tu wakati huo....

Ndugu Felix Ngamlagosi Aliyekuwa Mkurugenzi wa EWURA
 
Ni kosa lipi jamani lilifanya huyo Mkurugenzi Mpaka akasimamishwa kazi???? Hadi huruma Jamani,Nakumbuka wakati anatangaza Bei za Mafuta zamani daaahhh
 
Back
Top Bottom