Waziri Mkuu Kassim Majaliwa acha siasa za ujanja ujanja

Majaliwa muongo muongo Sana huyo Mwamba yaani ni mwongo huyo baba hatari!
Sijui mpaka Leo anafanya Nini hapo angekua amejiuzuru mwenyewe kipindi kile ametupiga fix akiwa masjid Njombe
Lakini kenge hua hasikii mpaka damu zimtoke masikioni!
 
Jana wakati unakataa kuzindua barabara pale Liwale ulimuuliza Injinia kwanini taa hazijawekwa. Injinia alipoanza kufunguka ukamkatiza maana ulijua atasema ukweli na wadanganyika wakakushangilia.

Pia kipindi kile unakagua mradi wa DART ulimuuliza swali Mkurugenzi akaanza kufunguka ukamkatiza ukaongea wewe tu na mwisho akatumbuliwa wakati mlikuwa mmezuia mabasi 70 bandarini kisa kodi.

Ndugu yangu Majaliwa siasa za kimagufuli hazitakusaidia, watanzania sio wajinga.
Huyu alitakiwa kubaki darasani kufundisha somo la historia hana Karama ya uongozi kama walivyo viongozi wengi wa serikali
 
CCM ndio waliyoanzisha hayo, ukiingia kwenye media za kiisilamu watu wote wanaunga mkono Nchi kutawaliwa na Waziri mkuu na Raisi wa imani yao.

Wameacha hata kutetea Demokrasia tena
Mkuu nadhani kuna mahali umekuwa ukipotea mara kadhaa ama umegubikwa na udini au una chuki dhidi ya waislamu au nadhani umetindikiwa busara sijui na sina hakika na hilo wewe mwenyewe unajifahamu... ila ambacho umesahau waliokamatwa katika kesi ya ugaidi ya Mbowe ni waislamu na na wanaoshtakiwa kwa uchochezi ni waislamu tukifanya hesabu jumuishi waislamu ni wengi kuliko wakristo kama ambavyo ilikuwa wakati wa kupigania uhuru nk. Waliodhulumiwa na kutaifishwa mali zao mara nyingi ikiwemo majumba na viwanda ni waislamu na waasia je tuseme ni udhalimu wa wakristo. Waliopewa kesi za ugaidi na kuuliwa sana na watawala wakristo nchi hii ni waislamu lakini tupo na tunaendelea kuwepo. Je tuseme waliohujumu wakafisidi hii nchi na kuitia umaskini ni wakristo??? Je kuna aina ya demokrasia ambayo unaamini zaidi ya hiyo??? Ikiwa ni mikataba mibovu inayoitesa hii nchi na kudumazwa kiuchumi mara kadhaa inajulikana waasisi wake ni dini gani lakini hatuuhukumu ukristo kutokana na hilo bali tunaangalia tunajikwamua vipi maana hili jahazi tulilomo tumo wote. Ila vema ukiendelea kuuchochea huo moto wa udini nadhani utasaidia kila mmoja kutambua upande wake ili tujitenge na demokrasia ipiganiwe kila mtu upande wake!!! Je tuseme Mwenyekiti wa baraza la wazee wa Chadema alifanya makosa kuisema serikali au ulitaka alichokisema kisemwe na mkirisito??
 
Jana wakati unakataa kuzindua barabara pale Liwale ulimuuliza Injinia kwanini taa hazijawekwa. Injinia alipoanza kufunguka ukamkatiza maana ulijua atasema ukweli na wadanganyika wakakushangilia.

Pia kipindi kile unakagua mradi wa DART ulimuuliza swali Mkurugenzi akaanza kufunguka ukamkatiza ukaongea wewe tu na mwisho akatumbuliwa wakati mlikuwa mmezuia mabasi 70 bandarini kisa kodi.

Ndugu yangu Majaliwa siasa za kimagufuli hazitakusaidia, watanzania sio wajinga.
NGUMI JAMAA ALIPIGWA TU BILA KUPUCH UKIPUNCH MGONJWA ----- Newsroom KUPELEKA HABARI BILA KUWA PRINTED ILI GAZETI LITOKE KWENYE JAMII.... AU WATANGAZE KWENYE RADIO
 
Jana wakati unakataa kuzindua barabara pale Liwale ulimuuliza Injinia kwanini taa hazijawekwa. Injinia alipoanza kufunguka ukamkatiza maana ulijua atasema ukweli na wadanganyika wakakushangilia.

Pia kipindi kile unakagua mradi wa DART ulimuuliza swali Mkurugenzi akaanza kufunguka ukamkatiza ukaongea wewe tu na mwisho akatumbuliwa wakati mlikuwa mmezuia mabasi 70 bandarini kisa kodi.

Ndugu yangu Majaliwa siasa za kimagufuli hazitakusaidia, watanzania sio wajinga.
Sio lazima taa ziwekwe kama pesa haitoshi sijui analazimisha nini..

Hii nchi watu wanapenda uongo sana sijui cha ajabu ni nini
 
tunataka taa za barabaran full stop.
hekko mh majaliwa
mama na dada zenu waendelee kushangilia taa za barabarani huku wakiota vigimbi na vipara kwa kuteka maji maporini...
Hii nchi hii... Yani vipaumbele ni taa za barabarani kabla ya kuboresha huduma za afya na elimu!!!
 
Jana wakati unakataa kuzindua barabara pale Liwale ulimuuliza Injinia kwanini taa hazijawekwa. Injinia alipoanza kufunguka ukamkatiza maana ulijua atasema ukweli na wadanganyika wakakushangilia.

Pia kipindi kile unakagua mradi wa DART ulimuuliza swali Mkurugenzi akaanza kufunguka ukamkatiza ukaongea wewe tu na mwisho akatumbuliwa wakati mlikuwa mmezuia mabasi 70 bandarini kisa kodi.

Ndugu yangu Majaliwa siasa za kimagufuli hazitakusaidia, watanzania sio wajinga.
Wee watanzania ni wajinga sana acha kudanganya watu.
 
Back
Top Bottom