Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,398
- 2,990
Chama chenu kilijipambanua kupambana na rushwa siku hizi kimekuwa bandari ya weziUmesoma ukaelewa au umelewa ukasoma? Nani anayetetea wezi?
Unaelewa maana ya hii sentensi "waziri Mkuu amewapa takukuru/ofisi ya DPP siku nne wawe wamewafikisha watuhumiwa mahakamani"?Ana uwezo wa kuagiza lakini wao wakafuata taratibu zote.
Lakini haimaanishi akisema basi hapohapo wanakamata watu.
Hivyo TAKUKURU watachunguza na DPP ataangalia kama kuna ushahidi na kama upo hao wezi watashughulikiwa.
Kama hakuna basi ndo sie huona ukimya na case closed.
Hizi kauli huwa ni danganya toto kama vile kuunda tume.Unaelewa maana ya hii sentensi "waziri Mkuu amewapa takukuru/ofisi ya DPP siku nne wawe wamewafikisha watuhumiwa mahakamani"?
Makonda alimdindia Waziri mkuu na Majaliwa cha kumfanya akashindwa.Waziri mkuu anawajibika kwa raisi tu ndani ya Tanzania watendaji wote serikalini yeye ndio boss wao kila taasisi ya serikali unayoijua wewe Majaliwa ndio boss wao; anaweza kumpa amri hata IGP Sirro akiamua.
Waziri yoyote anamwakilisha raisi moja kwa moja kwenye sector aliyokabidhiwa, kauli yake ndio ya raisi; unless raisi mwenyewe aikane.
Unashangaa kuona watu kama hakina Sirro wanapata wapi kiburi cha kujibizana na mamlaka ya raisi.
Unapomletea ukaidi waziri ni kukaidi amri ya raisi mpaka raisi mwenyewe aipinge.
Katika gazeti la Raia Mwema la leo, Jumatano, August 18, 2021, kuna habari kwamba Waziri Mkuu, Majaliwa, amewapa TAKUKURU na DPP siku nne kuwafikisha mahakamani watuhumiwa fulani wa ufisadi. Haya maagizo sio tu ni ya kushangaza, lakini pia ni ushahidi kwamba nchi yetu ina viongozi ambao hawajui mipaka ya kazi zao.
Ofisi ya DPP ipo kikatiba na ni ofisi ambayo inapaswa kufanya kazi zake bila kushinikizwa na kinyamkera yeyote yule. Charging decision ni prosecutorial discretion ya DPP. Akijiridhisha kwamba kuna ushahidi wa kutosha dhidi ya mtuhumiwa, DPP atapeleka kesi mahakamani. Vinginevyo hapeleki. Hapapaswi kuwa na mtu yeyote wa kumuagiza kufanya hiki au kutokufanya kile. Not even the President.
Wanasiasa, tafadhali sana fahamuni mipaka ya authorities zenu. Mnatia aibu
Makonda alimdindia Waziri mkuu na Majaliwa cha kumfanya akashindwa.
Hata rais hana mamlaka ya kuzuia mikutano ya kisiasa ya vyama vya siasa.Katika gazeti la Raia Mwema la leo, Jumatano, August 18, 2021, kuna habari kwamba Waziri Mkuu, Majaliwa, amewapa TAKUKURU na DPP siku nne kuwafikisha mahakamani watuhumiwa fulani wa ufisadi. Haya maagizo sio tu ni ya kushangaza, lakini pia ni ushahidi kwamba nchi yetu ina viongozi ambao hawajui mipaka ya kazi zao.
Ofisi ya DPP ipo kikatiba na ni ofisi ambayo inapaswa kufanya kazi zake bila kushinikizwa na kinyamkera yeyote yule. Charging decision ni prosecutorial discretion ya DPP. Akijiridhisha kwamba kuna ushahidi wa kutosha dhidi ya mtuhumiwa, DPP atapeleka kesi mahakamani. Vinginevyo hapeleki. Hapapaswi kuwa na mtu yeyote wa kumuagiza kufanya hiki au kutokufanya kile. Not even the President.
Wanasiasa, tafadhali sana fahamuni mipaka ya authorities zenu. Mnatia aibu
..alimdindia sio kwasababu analindwa na katiba, bali kwasababu alikuwa analindwa na Magufuli.
Unauelewa kidogo wa katiba na utawala?Waziri mkuu anawajibika kwa raisi tu ndani ya Tanzania watendaji wote serikalini yeye ndio boss wao kila taasisi ya serikali unayoijua wewe Majaliwa ndio boss wao; anaweza kumpa amri hata IGP Sirro akiamua.
Waziri yoyote anamwakilisha raisi moja kwa moja kwenye sector aliyokabidhiwa, kauli yake ndio ya raisi; unless raisi mwenyewe aikane.
Unashangaa kuona watu kama hakina Sirro wanapata wapi kiburi cha kujibizana na mamlaka ya raisi.
Unapomletea ukaidi waziri ni kukaidi amri ya raisi mpaka raisi mwenyewe aipinge.
Enzi zile anatamba na sponsor wake mwendazake.Makonda alimdindia Waziri mkuu na Majaliwa cha kumfanya akashindwa.
Acha upuuzi wa kuwadharau watu usiowajua wewe tambala la deki,huu Uzi unashida gani?? Mbona hii platform imejaa matahira wengi Sana?! Kuna haja gani ya kuchangia kila thread tena kwa kuwadharau wenzenu??Huu uzi wako sio tu ni wa kushangaza, lakini pia ni ushahidi kwamba huijui nchi yako.Hadi leo hujui ya kwamba katika nchi ya Tanzania viongozi wa kisiasa huwa wanaiweka mihimili ya nchi mfukoni mwao kwa faida zao binafsi?Kwa nini unashangaa kitu ambacho ni cha kawaida Tanzania na kinajulikana?
Hili suala la Watanzania walio wengi kuwa na akili ndogo za kufikiri kama za mleta uzi huwa linanikera sana!