Issue ni kuangalia nani anaweza siyo imani yake. Mkuu uchumi wako ni wa 'kughushi'. Kwani hao waliofanikiwa walifanyaje mpaka wakaendelea?Kwani hata akija kiongozi mkuu wa imani nyingine atafanya nini?
Angalia kiuchumi zaidi kujiona mfumo wenu upo vipi na mwelekeo wenu ni upi kiuchumi.
Kama mchumi kitaalamu nakwmbia mchana kweupeeeeeee hakuna jipya zaidi ya kujiongezea matatizo zaidi.