Waziri Mkuu apiga kikombe Samunge

Waziri Mkuu apiga kikombe Samunge

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
1,947
Reaction score
254
Babu wa Loliondo almaarufu babu wa kikombe.. ameitaka serikali kuboresha njia na mazingira ya Samunge kujiandaa kwa mafuriko ya watu kutokana na miujiza iyakayoanza tena karibuni.

Babu aliyasema hayo mbele ya waziri mkuu alipomtembelea huko Samunge. Kabla ya waziri mkuu kuondoka walipata kikombe na mkewe na umati wa watu waliofika na msafara wa waziri mkuu.

Hoja Kikombe serikali ilipinga uponyaji wake....
je! Kulikoni???
 
kwani biashara ukiambiwa hailipi na wewe unaacha kuifanya hata kama umefanya feasibility study na kuona inakulipa?
 
asiramkono.jpg
balelekandoro.jpg
lukuvi.jpg
Maige.JPG
194447_150870264972593_100001488627418_287072_7695442_o.jpg
magufuli.jpg
 
Mbona nilisikia alishapata kikombe Au babu kesharuhusu watu warudie kunywa tena kikombe...

Babu mjanja kweli huyu anawazidi hata viongozi Wa serikali!
 
CCM si mnajua wote wagonjwa, huyu babu amegundua dawa mpya ya kutibu ujangili, ufisadi na ughaidi. Mwache PM anywe tu labda anaweza kujivua gamba
 
Taifa linaongozwa na viongozi wenye kuamini katika Ulozi na Mauzauza sijui litafika lini kunako maendeleo.
Wanaacha kujenga maabara za kisasa za kisayansi wanaenda kuhangaika na kigagula huyo.
Mwisho wa siku ndio maana akili zao huviambia vinywa vyao kutoa kauli za kijinga kama 'Wapigwe tu' n.k
 
Babu ni zaidi ya Kiyosaki linapokuja suala la ujasiliamali.Babu ni mbunifu wa kimataifa.
 
Usanii mwingine wa TISS na ccm unakuja. Hakuna tiba hapo.
Mrema alitumika kwa nafasi yake ya u-tiss akadai kapona kisukari mbona anazidi kuchoka tu kila kuukicha?? Aua anatumia carolite?? Aua laana ya usaliti??
Huyu babu ningekuwa presda ningempiga marufuku na kumfunga jela mara moja.
 
Usanii mwingine wa TISS na ccm unakuja. Hakuna tiba hapo.
Mrema alitumika kwa nafasi yake ya u-tiss akadai kapona kisukari mbona anazidi kuchoka tu kila kuukicha?? Aua anatumia carolite?? Aua laana ya usaliti??
Huyu babu ningekuwa presda ningempiga marufuku na kumfunga jela mara moja.

Ngoja babu akusikie atakudhuru wewe shauri yako mwaya
 
Kuna uhusiano kati ya huyu mzee(sio babu yangu yule) na serekali 2gether with ccm,
wanywe tu by pinda
 
Back
Top Bottom