Waziri Mkuu apiga kikombe Samunge

Waziri Mkuu apiga kikombe Samunge

Nimeishia kushangaa tu!!!! Hawa sio viongozi..Kweli serikali yetu unaweza kuiangamiza kwa cku moja
Tuchukulie mfano babu katumiwa na magaidi atege sumu..Inakuwaje hapo?
unajuaje? kama inaozesha mafigo taratibu...baada ya miaka miwili viongozi wote hoi vitandani, hii nchi imechanganyikiwa...
 
Dah..! no wonder maamuzi yanakuwa ya hovyohovyo kumbe wanaofanya maamuzi wote ni wagonjwa na wameoza.. cheki huyo dingi kulia kwa Kandoro..


Mkuu huna haja ya kumwonyeshea kidogo huyo mmoja!

Kwa ujumla wote walioenda na wanaoendelea kwenda Samunge hamnazo,chukua list ya watendaji wa Serikali walioendea samunge/kupata Kikombe alafu angalia na mawazo na Maamuzi yao ya kiutendaji uatapata jibu na huhitaji kuwa Dr elimu ya Darasa la saba inatosha kungamua mapungufu makubwa waliyokuwa nayo.

Lakini hiyo haitoshi Jamii ya Watanzania Wengi wao nao ni walewale!




Ukiongezea na hizi promotion sijui kama tutafika salama.
 
unajuaje? kama inaozesha mafigo taratibu...baada ya miaka miwili viongozi wote hoi vitandani, hii nchi imechanganyikiwa...

Hiyo inawezekana Mkuu Wile GAMBA picha nyingine ninayoipata hapa ni kuhusu mauaji ya Albino.. nani walikua Ma-boss..?? Kama tuna viongozi wa hivi? !!!..
 
Last edited by a moderator:
asiramkono.jpg
balelekandoro.jpg
lukuvi.jpg
Maige.JPG
194447_150870264972593_100001488627418_287072_7695442_o.jpg
magufuli.jpg

Nchi hii ina wa.puu.zi wengi!

Wengi wanishi kwa kuwategemea wpiga ramli
 
kumbe safari yote hiyo alikuwa anatafuta njia ya kupata kikombe?
 
Babu wa Loliondo almaarufu babu wa kikombe.. ameitaka serikali kuboresha njia na mazingira ya Samunge kujiandaa kwa mafuriko ya watu kutokana na miujiza iyakayoanza tena karibuni.

Babu aliyasema hayo mbele ya waziri mkuu alipomtembelea huko Samunge. Kabla ya waziri mkuu kuondoka walipata kikombe na mkewe na umati wa watu waliofika na msafara wa waziri mkuu.

Hoja Kikombe serikali ilipinga uponyaji wake....
je! Kulikoni???
Ujue wanaandaa tena hadaaa kwa Watanzania wanataka tusahau kujadili katiba turudi tena Samunge
 
unajuaje? kama inaozesha mafigo taratibu...baada ya miaka miwili viongozi wote hoi vitandani, hii nchi imechanganyikiwa...

Tutawazika tu.. kwenye budget si wameshatenga billion 4 kwa ajili ya mazishi ya viongozi.
 
Usanii mwingine wa TISS na ccm unakuja. Hakuna tiba hapo.
Mrema alitumika kwa nafasi yake ya u-tiss akadai kapona kisukari mbona anazidi kuchoka tu kila kuukicha?? Aua anatumia carolite?? Aua laana ya usaliti??
Huyu babu ningekuwa presda ningempiga marufuku na kumfunga jela mara moja.
Huwii lewelelo!
 
Hana lolote...Wanataka kututoa kwenye mziki wa katiba mpya...! Safari hii hatudanganyiki
 
Kisayansi hakuna dawa ambayo inaweza kutibu kila ugonjwa, labda huu ni utafiti mpya. Pia kwa wakristu hakuna muujiza wowote wa kiimani tulioachiwa zaidi ya kuliita jina la Yesu. Tiba ya kikombe kama inavyoelezewa haina basis ya kisayansi wala ya imani ya kikristo.
 
kunywa utapona mh.waziri mkuu.Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
 
Lolianda wonder season 2? Nchi ya ajabu kweli ,tunadanganyika kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom