Issuna
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,168
- 7,513
Afya ni nini kwani mkuu? kwamimi nijuavyo afya ni 1.UZIMA 2.MUONEKANO BORA sasa kama una namba 1 tu huna namba 2 kwa mimi huna Afya wewe.Unene ndio afya mkuu?
Afya ni nini kwani mkuu? kwamimi nijuavyo afya ni 1.UZIMA 2.MUONEKANO BORA sasa kama una namba 1 tu huna namba 2 kwa mimi huna Afya wewe.Unene ndio afya mkuu?
Ingekuwa kakurupushwa kutoka shambani na kupiga nae picha, hiyo picha inge break internetNa hapo lazima maandalizi ya nini cha kuvaa yalifanyika ili atokee kwenye picha vizuri.
Siasa tamu sana.
Ingekuwa kakurupushwa kutoka shambani na kupiga nae picha, hiyo picha inge break internet
Nipo mkuu wangu ila mambo ni mengi muda nao hautoshi... Salama lakini?Chopeko upo, umebadili avatar nimekusahau
Moto wake unaujua? au kusimuliwa tu
kwa kwel mkuuulakini kiafya huyu yuko vzr sana maana anakula vitu asilia kuanzia mchicha kuku mayai sema kakauka tu
Na usikute kipind hicho wanasoma mr majaliwa Hata akiomba papuchi alikuwa anakataliwa mbaya zaidi ukute alikuwa anakejeliwa balaa.....