Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,222
- 18,381
Majaliwa kaishi maisha ya u-check bob long time! Hence bado anaonekana check bob
Ndo Mana hawataki kurudi
Wanawake msiwe mnatukataa, hauwezi jua kesho yangu itakuaje.
We jaribu uone moto wakeWaziri mkuu umpe hata kamtaji aisee, kweli pesa ndio kila kitu wakuu, tuzitafute hata kwa nguvu za gizani.
Write your reply...
we jamaaSasa kakaJambazi utaoa mtaa mzima si ni mmoja tu mtakae ridhiana!
Unaweza kuwa na mali lakini ndoa yako nikama moto wa gase
Sent using Jamii Forums mobile app
bado kuna utengo wa maisha kati ya walio nacho na wasio nachoNaomba wale wanaowadanganya walioko maofisini kwenye viti vya kuzunguka na viyoyozi waache kazi wakalime wajionee mfano halisi.
Hao ndo watanzania halisi walioko vijijini ambao serikali ya CCM imeamua kuwanunulia Bombardier!
Uwaziri mkuu kwa Katiba ya bongo na urais wa jiwe ni afadhali uwe konstebo wa magereza tu. UPM wenyewe mara utishiwe nitapiga shangazi zako, mara uambiwe wewe naweza kukutimua tu maana hukuzaliwa PM nk! Yote haya unaambiwa hadharani!
Unene ndio afya mkuu?Utaskia kuna mtu anasema Watu wa Mjini hamna afya kabisa sababu ya mavyakula yenu ya kemikali
Ha ha ha....Hatarii,,pesa ndo kila Kitu, alafu usikute kilikua chombo chake wakat huo
Sent using Jamii Forums mobile app