mpiga era
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,078
- 2,269
Yawezekana kwa sababu majaliwa ye anaipangia pesa ale nini
Ila kwa bibi hapo pesa ndo inampangia ale nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana kwa sababu majaliwa ye anaipangia pesa ale nini
TAFUTA TU lakn usiote Uwaziri Mkuu
Vina saba ?Siuhitaji wala sina vina saba vya kuwa huko maana mimi nimezaliwa familia bora toka utotoni sasa huko sihitaji mkuu
Daa kijijini sio pamchezoDah! Yaani utafikiri ni kijana kaenda kumuona mzazi wake Kijijini
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama kamuacha mtupu lazima kuna kabahasha atakua kamuachhia sio bure..Dada mkuu tena alivyomsaidia sku ile asichapwe kisa hakubeba mboleaDuuuh Majaliwa msaidie huyo school mate wako si unaona jinsi alivyochoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Msijali, huyo mama na wenzske ndio walengwa wa dirimulaina na bombadiaDah! Yaani utafikiri ni kijana kaenda kumuona mzazi wake Kijijini
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwaziri mkuu kwa Katiba ya bongo na urais wa jiwe ni afadhali uwe konstebo wa magereza tu. UPM wenyewe mara utishiwe nitapiga shangazi zako, mara uambiwe wewe naweza kukutimua tu maana hukuzaliwa PM nk! Yote haya unaambiwa hadharani!TAFUTA TU lakn usiote Uwaziri Mkuu
Kama ni kweli baby come is next to impossible 😂Hatarii,,pesa ndo kila Kitu, alafu usikute kilikua chombo chake wakat huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmhh sasa tufungue maduka ya ushirika?Wanawake msiwe mnatukataa, hauwezi jua kesho yangu itakuaje.
Ndo Mana hawataki kurudi
Hahahahah, watu mna maneno jmn. Mweh.