Waziri Mkuu akumbana na mabango mkoani Njombe

Waziri Mkuu akumbana na mabango mkoani Njombe

Wanasomeka Mkuu usiwe na shaka kuhusu hilo. Ndiyo sababu mashetani wa Ikulu wanataka kuifungia mitandao yote nchini wakiongozwa na yule shetani Mkuu.

Jambo zuri walilofanya wananchi hao kuelezea yanayojiri walipo, vizuri wengi wangefanya haya sababu wanayasoma.

Na sio kulalamika tu, haswa wanaojificha kwenye mitandao na kuponda kila kitu kama vile wanasomeka.
 
Habari,

Wazir mkuu akiwa ziarani wilaya ya Wanging'ombe katika kijiji cha Ihanja kata ya Mdandu. Wananchi wakijipanga na mabango kuhusu kero zao ikiwemo ya umeme.

Wanakijiji hawa walijawa na gadhabu kwani tangu Tanesco iweke nguzo mwaka 2001 hadi Leo umeme haujawekwa kijijin hapo.

Ndipo wakahoji iweje wao tu ingali vijiji vya jiran umeme upo?
Hali ilikuwa kama hivi katika pichaView attachment 462323View attachment 462324View attachment 462325View attachment 462326View attachment 462327
Wameanza kujitambua na kwa umoja wao wamejitoa mhanga kumfunga nyau kenge
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yani serikali imekutana na mabango mengi kuliko hata wahudhuriaji.

Tena hao wanakijiji wategemee umeme utafika hapo kijijini mwaka 2029 kwasababu huo ni mradi wa MCC uliositishwa na wahisani baada ya serikali ya CCM kupora ushindi wa Maalim Seif huko Zenji.
Hiyo picha inaonyesha kiasi gani watanzania wana matatizo
 
Habari,

Wazir mkuu akiwa ziarani wilaya ya Wanging'ombe katika kijiji cha Ihanja kata ya Mdandu. Wananchi wakijipanga na mabango kuhusu kero zao ikiwemo ya umeme.

Wanakijiji hawa walijawa na gadhabu kwani tangu Tanesco iweke nguzo mwaka 2001 hadi Leo umeme haujawekwa kijijin hapo.

Ndipo wakahoji iweje wao tu ingali vijiji vya jiran umeme upo?
Hali ilikuwa kama hivi katika pichaView attachment 462323View attachment 462324View attachment 462325View attachment 462326View attachment 462327
Kwani raisi katangaza kuwa hicho kijiji hakina umeme...anayejua kuwa kijiji kina umeme or hakina ni raisi peke yake hao wananchi waache kutumiwa na wanasiasa
 
Back
Top Bottom