Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
Tatizo letu ni kulalamika na kukosoa hata kama hatuifahamu habari kwa undani. Kule Tabora rais alikerwa na wenye mabango kuyasimamisha wakati nyuma yao kuna watu wanataka kumuona yeye akitoa hotuba.Hajui kama boss wake anayakataa???hii nchi full of confusion,no chain of command. Kila mtu anatamka la kwake
Mabango hubeba ujumbe wa maisha halisi ya watu. Tatizo ni utaratibu mbovu unaokuwepo ambapo wenye mabango wanafikiri wapo peke yao tu, wakati rais au kiongozi anahutubia wananchi.