Waziri Mkuu aagiza wananchi wasizuiwe kuonesha mabango

Hajui kama boss wake anayakataa???hii nchi full of confusion,no chain of command. Kila mtu anatamka la kwake
Tatizo letu ni kulalamika na kukosoa hata kama hatuifahamu habari kwa undani. Kule Tabora rais alikerwa na wenye mabango kuyasimamisha wakati nyuma yao kuna watu wanataka kumuona yeye akitoa hotuba.

Mabango hubeba ujumbe wa maisha halisi ya watu. Tatizo ni utaratibu mbovu unaokuwepo ambapo wenye mabango wanafikiri wapo peke yao tu, wakati rais au kiongozi anahutubia wananchi.
 
kwani issue ni yeye kuonekena au ni yeye kusikika anachokisema
 
Tatizo letu ni kulalamika na kukosoa hata kama hatuifahamu habari kwa undani. Kule Tabora rais alikerwa na wenye mabango kuyasimamisha wakati nyuma yao kuna watu wanataka kumuona yeye akitoa hotuba.
Mabango hubeba ujumbe wa maisha halisi ya watu. Tatizo ni utaratibu mbovu unaokuwepo ambapo wenye mabango wanafikiri wapo peke yao tu, wakati rais au kiongozi anahutubia wananchi.
You might be right,lakini Mimi sio mjinga na mpuuzi kama unavyonifikiria eti nianze kupinga.
Unaelekea umeanza kufuatilia hizo habari za mabango juzi,kaulize siku ya wafanyakazi kilitokea nini Ndio ujue na hoja za tatizo letu kulalamika na kukosoa. Usijikute unajua kila kitu mean while umeanza kufatilia mabango jana
 
Wakati Magufuli Aliwaambia Wakayatandike Walalie Majumbani Mwao
Siyo majumbani mwao tu, bali wakayatandike kwenye vitanda vya wake zao wawagegedee hapo! Busara haiuzwi gulioni! Huyu PM atatumbuliwa muda si mrefu yaani anabishana na Malaika Mkuu Gabriel?
 
You might be right,lakini Mimi sio mjinga na mpuuzi kama unavyonifikiria eti nianze kupinga.
Unaelekea umeanza kufuatilia hizo habari za mabango juzi,kaulize siku ya wafanyakazi kilitokea nini Ndio ujue na hoja za tatizo letu kulalamika na kukosoa. Usijikute unajua kila kitu mean while umeanza kufatilia mabango jana
Mkuu ni rais huyu huyu aliyetoka jukwaani na kwenda walipo wenye mabango na kuyasoma siku ile pale uwanja wa Tanganyika, halafu mkuu wa mkoa na wilaya wakapewa maagizo ya kushughulikia yale yaliyoandikwa kwenye mabango hayo.
 
You jer.k usinitibue Mimi. Si aliwatoa watu nje na mabango yao. We vipi??
 
My friend are you stupid?. Aliwatoa watu nje kivipi wakati wale watu waliingia uwanjani na mabango yao?.

Sio kila kitu kinapingwa tu, uwe na ushahidi wa kutosheleza kabla hujaandika kitu humu JF.
 
I'm not stupid,you are. Ushahidi upo Hadi humu jf kuna Uzi mtu akauliza kwanini rais anatoa watu wenye mabango yao wakati wao wanaelezea kero zao. Kama hujui pole yako na umepitwa na mengi you brat
 
Maserati unaendeleza ligi ya maneno, isiyo na msaada kwako wala kwangu. Rais hajayakataa mabango, alikataa uhuni wa watu wachache pale Tabora, ambao aliwaambia wayashushe kwanza ili aweze kuhutubia halafu baadae ndipo atayasoma ili utatuzi ufuate. Yule aliyetukanwa pale uwanjani, ilikuwa ni kwa sababu ya ukaidi wake na sio kwa sababu ya ujumbe wa kilichoandikwa.

Wapo wa aina yako wewe, ambao hupenda kuona kunatokea misunderstandings kati ya Rais na mawaziri wake, ni kweli sintofahamu huwa zinajitokeza baina yao.
Lakini this time kwenye suala la mabango, kati ya Rais na waziri mkuu hakuna sintofahamu iliyojitokeza, ni uelewa mdogo wa baadhi yetu unaotumika kupotosha ukweli wa jambo husika.
 
Uhuni UPI??? Watu wasielezee shida zao mnauita uhuni??you not serious guy.
Misunderstand ya rais na mawaziri wake hiyo vipi?? Hii awamu Naona chain of command,kila mtu anakuja na mawazo yake kesho yake yanapinduliwa,huyu anaongea hili anapinga aliloliota mwnzie. Agree or reject but that's the truth...
 
Uhuni UPI??? Watu wasielezee shida zao mnauita uhuni??you not serious guy.
Misunderstand ya rais na mawaziri wake hiyo vipi?? Hii awamu Naona chain of command,kila mtu anakuja na mawazo yake kesho yake yanapinduliwa,huyu mnaongea hili anapinga aliloliota mwnzie. Agree or reject but that's the truth...
Mkuu umekuza mambo, hili ni dogo sana. Inawezekana kweli kila mtu anakuja na mawazo yake halafu wa juu yake anayatengua. Huo ni utaratibu wa kazi wa dunia nzima, hawaongozi malaika bali ni wanadamu, wenye kufanya makosa.

Kwenye suala la mabango, waziri mkuu hajaenda kinyume na rais wake, ni kuelewa tu kwamba pale Tabora kulitokea kutoelewana kati ya rais na mbeba bango mmoja. Lakini kwa ujumla awamu ya tano imejitofautisha na zilizopita kwa kwenda hatua moja zaidi kwenye kuweka ukaribu na wananchi wa hali ya chini.
 
Back
Top Bottom