Jembe Ulaya
JF-Expert Member
- Oct 27, 2008
- 456
- 104
Anajipanga.
hata ccm wapo wanaipenda CDM, wengine wako huko kwa sababu ya vyeo walivyonavyo, mtu kama Membe angelikuwa hana cheo/uwaziri angekuwa amevua gamba na kuvaa gwanda, huyu ni baadhi wa wachache ndani ya CCM angalau hawanuki ufisadi wa kutisha, kama kuna mtu ana ushahidi wa ufasadi wa waziri huyu aweke hadharani.
Uongo mwingine hauna kichwa wala miguu.
Wanashindwa kusema ukweli. Membe mnamjuwa lakini au mnamsikia tu?
Mnafiki, mzabizabina, nyoka wa mdimu......!
Kwa hiyo wewe unamjua saaaaana, kama sikosei wewe ndiyo mamsapu wake au nyumba ndogo yake.
Waziri wa mambo ya nje Bernard Membe amekitabiria ushindi chama cha Demokrasia na maendeleo-CDM katika uchaguzi mkuu unaokuja.Waziri Membe amesema chama cha CDM kimetokea kupendwa na wananchi katika kila kona ya nchi na hata operesheni yao ya kusini imekitikisa chama tawala.
Waziri Membe aliyasema hayo katika chakula cha mchana alichowaandalia viongozi wa CDM nyumbani kwake waliokuwa katika jimbo lake la Mtama.Viongozi hao ni mjumbe wa kamati kuu Godbless Lema,kamanda James Millya na viongozi wakuu waandamizi.
Waziri Membe aliwaambia viongozi hao ameishi nchi mbalimbali duniani zenye demokrasia ya hali ya juu hivyo hatashangazwa hata kidogo CDM kuingia Ikulu.
Kuhusu kesi iliyotengua ubunge Lema waziri Membe amedai kushtushwa na kusema kwa vile amekata rufaa anaamini mahakama ya rufaa itamrejeshea ubunge wake.
Source:Mtanzania Jumapili.
sidhani kama ni busara kwa kiongozi mwenye nafasi ya nape akiri kuwa ccm itashindwa..........ni kama mkuu wa kikosi cha kijeshi awambie wapiganaji wake kuwa watashindwa vita..........Hivyo msitegemee hata siku moja aseme kuwa ccm imechoka au itaanguka badala yake ataendelea kupambana mpaka mwisho akisubiri uchaguzi ili wananchi waamue wenyewe.Membe ameongea yaliyo moyoni kwake. Pia, ameonyesha busara. Hata Maige ameshatoa kauli kama hii zaidi ya mara 1. Mwendawazimu Nepi ndio amebaki kichwa ngumu.
Hakuna cha unafiki hapo ndugu. Siasa si uadui, Chama kimoja kinatawala leo kesho kinatawala kingine.
Tunasubiri kauli ya Nape kwa.matamshi haya ya Membe
Membe ameongea yaliyo moyoni kwake. Pia, ameonyesha busara. Hata Maige ameshatoa kauli kama hii zaidi ya mara 1. Mwendawazimu Nepi ndio amebaki kichwa ngumu.
:A S 100::glasses-nerdy:ametishwa na kasi ya CDM huyo,alikuwa kma anawapliz CDM wamuoneee huruma:mwaaah::coffee::angry: