William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
afu sasa wakubwa wa JF nao wamefyata mkia......walijaribu kumpa kubwa...akaja na ..oooh tumetoka mbali.....wenyewe wakanywea.....
ndio maana nikionaga watu wanazitwanga keyboard zao kwa kukomaa na ufisadi naishia kucheka na kukamata bilauri ya beer.....
lol FMES unajilazimisha uwe zumbukuku wakati sio.....nikuulize hapa kila siku mnakata ishu mnaita data......mnazileta katika google...na bado mnaushauri uongozi kuhusu walipotereeza wajirekebishe......ujue kuwa Google ni JF ikiwemo unajua lakini una force kutojua....shame on u!!- Yaaani waziri wa jamhuri yetu unasema afukuzwe kazi kwa sababu ya huo usahidi wako hapa juu kutoka google, na ni hoja nzito sana unashangaa kwamba kwa nini sielewi!

lol FMES unajilazimisha uwe zumbukuku wakati sio
.....nikuulize hapa kila siku mnakata ishu mnaita data......mnazileta katika google...na bado mnaushauri uongozi kuhusu walipotereeza wajirekebishe......ujue kuwa Google ni JF ikiwemo unajua lakini una force kutojua....shame on u!!
Wewe hapo leo ukitaka data online hujui the specific link utafanyaje? u'll googling mkuu....sasa ulitaka shem aje na nini uamini......aibe jarada toka gov ya Nigeria akuletee......usijifanye mjinga....sometime unaboa.....sawa lau mshikaji wako lakini angalia pa kuteteeka....praak
kabla ya yoote niliandika hivi......jana- Wewe ndiye zumbukuku tena hamnazo, maana ya powerbreakfast yamnekushidna sasa unajaribu kuugeuza huu mjadala kuwa FMEs, sasa huo ndio uzumbukuku wa binti maharage pale Buguruni kwa malapa!
mengine siwezi kukujibu nipo jukwaa la mapenzi.......huoni kajisajili lini?
...hili la clouds msilitegemee kabisaaaa.....pj au GH hawezi kukubali kutia kitumbua chake mchanga kwa kuuliza maswali ya KiJf JF huku kusaga kamkalia pembeni rafiki yake asiadhirike......msitegemee kitu
mengine siwezi kukujibu nipo jukwaa la mapenzi.......
JF management vipi......kwangu mambo sio kabisa naona mmenikaba.....toeni hizo nanihii ni submit repy kwa uzuri
mkuu wewe nidharau tu mie sina noma after all sikujui na sihitaji kukufahamu,sina muda.........yaani wewe mtu akipingana na hoja zako basi unaita nonesense......hao mods wafute unafikiri nitapiga filimbi saaana basi......- Unajua it takes a lot mpaka mimi kumdharau bina-adam mwingine, na nikishafikia huwa unakuwa kama haupo, naona kila mahali unajaribu kutafuta attention yangu lakini nilishakudharau mkuu, wewe hapa wananchi wanatafuta solution ya matatizo ya taifa lao, tizama unachochangia kwa taifa, yaani kama vile uko kijiweni!
Mods vipi jamani, si zamani mlikuwa na tabia ya kufuta nonesense kama hizi bila ya kusema kitu vipi mnaachia hawa walevi huku JF? I mean wote hapa tutaishia kuonekana walevi kama huyu kichaa, vipi?
mkuu wewe nidharau tu mie sina noma after all sikujui na sihitaji kukufahamu,sina muda.........yaani wewe mtu akipingana na hoja zako basi unaita nonesense......hao mods wafute unafikiri nitapiga filimbi saaana basi......
.......hata ukiniita kichaa siumizi kichwa najua huna hoja umebaki na viroja......haya niambie si unajua kila mtu humu.....maana ukiishiwa unaanza nakujua nakujua......wewe suala la masha unauma na kupuliza uzalendo unakushinda alafu siku nyingine mje kupinga mafisadi........
chiligati alipofatwa ambae sasani waziri wa ardhi alisema ingwa anakirialipeleka swala hilo amesema hawezi kulizungumzia maana si waziri husika,,nathibitisha ni kweli nilipeleka lakini siwezi kuongelea chochotesababu kubwa nilifanya hivyo kuokoa huummradi uliodorora miaka kumi,,alipoulizwa kamaaliifanyiauchunguzi kabla ya kupelekwa kwenye baraza alisemaawezikuongelea na yeye alikula kiapocha baraza lamawaziri kutota siri ya baraza lamawaziri,,pia alilaumu swalalamradi kupelekw bungeni.ninyi waaandishi wahabarimnauua huumradi tumechokakukaa bila kitambulisho,,habari zilizothibitishwa zinasemamungai alishawahi kusimamisha zoezi hili nakumwaandikia gothamajitoe katika uchafu huukitu kilichomuudhi gothamna ndiomaana analazimisha mungai ndi aliepelekakwa nia ya kumchafua,,katika moja ya vilelezotulivyo navyo mungai aliwahi kuandika barua ya kusitisha maramoja zoezi hili na kuamua lianze upya,...kuzingatia kanuni na utaratibu wa zabuni uwe wazi.....niletewe utaratibu wa mapungufu yaliyomo katika ministerial tender board,,yalioashiriwa kuundwa inter ministerial board.....habari zaidizinasemakatikamakampuni yalealioamrisha mungai yafutwe nakutangazwa upya zipo baadhi ya kampuni ambazo zipompaka sasa na mh waziri masha anajaribu kuzingangania
waziri mungai alikataa kushirikishwa nimeamuakupumzika,,,gothamamwenyewe alipoulizwahilo kwanini serikali wamemkanakwenye media alijibu ni vema mkawauliza waliolitoa
USHAURI
SERIKALI IMEONEKANA KUNAMCHEZOMCHAFUMKUBWA ULIANZAKUTUMIKAKWENYE HUUMRADIKAMAWATANZANIA TUNAOMBA USIMAMISHWE .....KUONDOAMALALAMIKO HAKI ITENDEKE
I was right!
Si SAGEM pekee, na nisingependa kuandika kireeeefu...
Kuna clues chache naweza kuwapa hapa.
Masha asidhani anaweza kudai flani anamchukia kama anavyoelekea kufanya na kutu-fool watanzania.
Najua wapo ambao watapingana nami lakini namwacha Masha aendelee kidogo kisha tutaleta nyeti zake hapa.
Hawa kina Lowassa na Rostam wanaompa kiburi wanamdanganya na yeye kama mwanasheria mchezo wanaotaka kuufanya ati kuitia hasara serikali yetu ni mbaya sana na nadhani ni wakati wa Rais kuamka, sipatikani kwa kuwapa undani wa issue hii kwa undani lakini kama serikali yetu imeshtuka iangalie kwa mapana sehemu hizi:
Kwenda kwa Masha huko Dubai ni kushughulikia deal lake na jamaa wa Giesecke & Devrient Fze ambapo baadae akaenda Uswiss ambapo ana jamaa yake ambaye najua ni hatari SANA ajulikanaye kama Philippe Jaccard.
Serikali pia itume watu wake (wanaoaminika) wajaribu kuufuatilia ushirika baina ya Masha, Rostam, Lowassa na Jaccard.
Mbaya zaidi kampuni nyingine ya IRIS Corporation Berhad ya Malaysia ina deal na Masha kwa karibu. Kuna ndugu wa karibu anayefanya kazi na kampuni hiyo na Masha ha-deal nao directly.
Nilichofanya ni kutoa clue tu, kazi kwa wenye uwezo wa kufuatilia clue hizi.
Originally Posted by Invisible