Waziri Mary Nagu ni hatari kwa usalama wa Taifa

wimbi la mbele

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
647
266
Dr.-Mary-Nagu1.jpg

Minister for Investment: Mary Nagu

Ukisikia mtu anazungumzia usalama wa Taifa au National security jambo la kwanza utafikiria hawa jamaa:

_44512484_anjouan_ap416b.jpg

Lakini ukwlei ni kuwa ninachozungumzia hapa ni hii:

Tanzanian-farmer.jpg

Sababu ni very simple. The availability of and access to food is inextricably linked to prosperity and stability.

Lakini waziri Mary Nagu bila sababu zozote zile za msingi aliamua kuzua wawekezaji binafsi wasijenge kiwanda cha Fertilizer (Mbolea) huko Mtwara na sabab kubwa aliyotoa ni kuwa lazima kufanyike public procurement.

Hivi huyu waziri ana tekeleza ilani ya chama kipi kwa kupinga kiwanda kisijengwe jambo ni private investment?

Binafsi naona huyu mama ni threat to our National Security/ Interests na hafai kuwepo serikalini hata kidogo.
Pabrikpupukkaltim.jpg
 
maana yake ni kuwa bila kilimo bora ambacho chachu yake ni mbolea hatuwezi kuwa na food security na bila food security hatuwezi kuwa na national security aka usalama wa taifa

Mary Nagu kwa kupinga mradi huu alikuwa anatekeleza ilani ya chama kipi?
 
Not clear, no connection between kabisa kati ya kichwa na hoja yenyewe.
 
Huenda unapoint lakini umeshindwa kuiweka vizuri, unaweza kuiandika upya ili tuweze kuelewa una maanisha nini hasa.
 
una hakika hiyo ndio ilikuwa sababu pekee?.......duuhh....sasa wewe ulitaka .....isifanyike public procurement?.......kwa nini?
 
una hakika hiyo ndio ilikuwa sababu pekee?.......duuhh....sasa wewe ulitaka .....isifanyike public procurement?.......kwa nini?

Tangu lini mwekezaji binafsi akafuata sheria za serikali ya procurement?

ni sawa na kumwambia bakhressa afuate PPA wakati anataka kujenga kiwanda cha maji
 
Tangu lini mwekezaji binafsi akafuata sheria za serikali ya procurement?

ni sawa na kumwambia bakhressa afuate PPA wakati anataka kujenga kiwanda cha maji

Public procurement na policy zake ziko wide.........Inategemea na interest za Client na jinsi anavyotaka mradi uendeshwe....na aina i.e type ya project........moreover.............inakuwaje pale wanapojitokeza wawekezaji say kumi (10) wanaotaka kujenga sehemu hiyo hiyo iliyoelekezwa na serikali huko Mtwara........

nevertheless.....je ni hiyo tu ndio ilikuwa sababu ya kukataa hiyo investment?.........
 
The difference is that those people in uniform are used by crooks especially our rulers to intimidate even kill opponents. Refer to what transpired recently whereby Dr Ulimboka was hijacked and tortured. If anything, food security is more important for national security than the men in uniform eating without producing. A pauper like nation like ours does not have any foe except our venal and omnishambolic rulers.
 
Ongeza nyama kidogo kwenye hoja yako au badilisha tittle na baadh ya point. Binafs simpend huyu Mama coz ya uwezo wake mdogo kwenye baadh ya mambo na ndo mana nataman kulielewa zaid hilo swala.
 
Public procurement na policy zake ziko wide.........Inategemea na interest za Client na jinsi anavyotaka mradi uendeshwe....na aina i.e type ya project........moreover.............inakuwaje pale wanapojitokeza wawekezaji say kumi (10) wanaotaka kujenga sehemu hiyo hiyo iliyoelekezwa na serikali huko Mtwara........

nevertheless.....je ni hiyo tu ndio ilikuwa sababu ya kukataa hiyo investment?.........

Client ambaye ni foreign investor alikuja na pesa zake. Feasibility ikafanyika kila kitu kuwa kiwanda kiwe pale kwa ajili ya not only kusupply Tanzania lakini na nchi zote zile (Malawi, Mozambique, Zambaia, Tanzania, Burundi, Rwanda, Kenya na Uganda to name a few)

sasa kama investor anakuja na 100% investment na hahitaji kufanya kazi hata moja na serikali kwa nini waziri Nagu amlazimishe kufuata masharti ya Public Procurement Act?

Nimetoa mfano kuwa ni sawa na Bakhressa kuambiwa akitaka kujenga kiwanda cha Unga Arusha lazima afuate public procurement act japo investment ni yake binafsi by 100%

kaka hiyo ndio nchi yetu

kuna wenye nchi
kuna wala nchi (Nagu&co)
Kuna wananchi (ambao wanaambiwa kuwa kilimo kwanza is the way to go)
 
title na content vimepelea

Bado sijakupata vyema.

Not clear, no connection between kabisa kati ya kichwa na hoja yenyewe.

Huenda unapoint lakini umeshindwa kuiweka vizuri, unaweza kuiandika upya ili tuweze kuelewa una maanisha nini hasa.

Naunganisha dot lakini bado kichwa cha haba na habari yenyewe havioani kabisa!

Naona kiswahili labda kimewashinda so nipeni ruksa niwafahamishe kwa English labda mtaelewa:

Its very simple.THE lack of food security contributes to political instability – food was a primary reason people first took to the streets in Tunisia. Food and poverty were right at the top of the list in the squares of Egypt, right next to the call for political freedom.

1.WHY MTWARA?

Jibu ni very simple, the fertilizer would have been produced using natural gas, which is found in abundance in southern regions.

2. CURRENT SITUATION:
Ukweli ni kuwa there's huge shortages of urea fertilizer in the country, infact the demand which exceeded supply has resulted into importation of FAKE fertilizer, which has yielded poor results for famers.

3. MINJINGU PLANT
Nijuavyo ni kuwa the government still support the Minjingu Fertilizer Company in Manyara Region, for it to increase its production quotas that will meet the demand of the local market and exportation. fURTHERMORE, the Minjingu Fertilizer factory embarked on ambitious project to produce phosphate with sulphur to mitigate the limitation of rock phosphate, for direct application.

4.TanzaniaFertilizer Regulatory Authority (TFRA)
Hii imeundwa na serikali amid a substantial increase in ill-examined commercial products in the domestic market from fertilizer importers, retailers and agro vendors. TFRA will also handle the registration and licensing process for fertilizer dealers. Lakini msiwe na hopes sana juu ya hili kwa sababu itakuwa haina meno kama TCRA na makampuni ya simu

in short ni hivi:

BILA KILIMO BORA AMBACHO KINATUMIA MBOLEA HATUWEZI KUWA NA MAZAO (CHAKULA)

NA BILA MAZAO(CHAKULA) HATUWEZI KUWA NA USALAMA WA TAIFA

Nadhani mpaka hapo Great thinkers mmenielewa
 
Taabu ya huyu mama ni PhD feki na mara nyingi ana hoja hafifu sana na dhaifu. Kazi yake kubwa ni kusifu tu utendaji wa aliyemteua uwaziri. Hata udiwani haumfai kilaza huyu. Hivi watu wa Hanang hawaoni hili8 bomu?
 
[
Lakini waziri Mary Nagu bila sababu zozote zile za msingi aliamua kuzua wawekezaji binafsi wasijenge kiwanda cha Fertilizer (Mbolea) huko Mtwara na sabab kubwa aliyotoa ni kuwa lazima kufanyike public procurement.

Hivi huyu waziri ana tekeleza ilani ya chama kipi kwa kupinga kiwanda kisijengwe jambo ni private investment?

Binafsi naona huyu mama ni threat to our National Security/ Interests na hafai kuwepo serikalini hata kidogo.
Pabrikpupukkaltim.jpg

Je picha hii ilikuwa iwe ndiyo ya kiwanda hicho cha Mbolea cha Mtwara?

Mimi ninafikiri kilichosababisha kiwanda hicho kisijengwe ni IN FIGHTING ya BIG SHOTS wa CCM, wengine wakitaka kijengwa LINDI na wengine wakitaka kijengwe MTWARA.

Kumbuka Mudhihir Mudhihir na JOKA LA MDIMU.
 
Back
Top Bottom