Waziri Mary Nagu ni hatari kwa usalama wa Taifa

mimi nafkiri kuna watu wanapata faida kubwa sana ku import mbolea feki toka nje ndio maana hawataki hiki kiwanda kijengwe

Lakini najaribu kuangalia Mary Nagu anafaidikaje na hiki kiwanda kutojengwa?
 
UNGEANDIKA STORY KAMILI UNGEELEWEKA VIZURI HAPA NI KAMA KUNA VITU UNAFICHA.
Sizani kama kiongozi mkubwa na mzoefu kama huyu mama atakurupuka tu na kutaka PPA itumike kutakuwa na sababu.
Tafuta habari kamili uweke hapa ma GT tuichambue mbivu na mbichi.
 
kama mpaka sasa hujaelewa then sijui nikueleweshe vipi?

unashangaa hii ya Mary Nagu? mbona hushangai mambo ya RICHMOND na uhuni wa makusudi uliofanyika kuwanyima watu umeme ili wachache wafaidike?
 
There is a huge demand for nitrogenous fertilizer East and Central Africa, siamini serikali imezuia mwekezaji kuanzisha kiwanda cha fertilzer.
 
Client ambaye ni foreign investor alikuja na pesa zake. Feasibility ikafanyika kila kitu kuwa kiwanda kiwe pale kwa ajili ya not only kusupply Tanzania lakini na nchi zote zile (Malawi, Mozambique, Zambaia, Tanzania, Burundi, Rwanda, Kenya na Uganda to name a few)

sasa kama investor anakuja na 100% investment na hahitaji kufanya kazi hata moja na serikali kwa nini waziri Nagu amlazimishe kufuata masharti ya Public Procurement Act?

Nimetoa mfano kuwa ni sawa na Bakhressa kuambiwa akitaka kujenga kiwanda cha Unga Arusha lazima afuate public procurement act japo investment ni yake binafsi by 100%

kaka hiyo ndio nchi yetu

kuna wenye nchi
kuna wala nchi (Nagu&co)
Kuna wananchi (ambao wanaambiwa kuwa kilimo kwanza is the way to go)

Unajua Watanzania tumeshaumwa na nyoka...hivyo tukiguswa na unyasi basi lazima iwe kasheshe.......pili, si kweli kuwa Mh Nagu ni Kilaza kama watu wengi wanavyotaka tuamini.
Mh Nagu ni msomi mwenye degree ya Uzamili....degree ya Uzamivu anayo-claim kuwa nayo ndio yenye utata....hata hivyo degree hiyo yenye utata haiondoi ukweli kuwa yeye ni msomi mwenye degree mbili za uhakika......

tatu, si vema kutoa conclusions kuhusu utendaji wa Mh Nagu based on the above allegations ambazo to be quite honest....they are lightweight.....or featherweight for that matter.

Miradi/Investments hutofautiana, mradi wa biashara ya maji huwezi kuulinganisha na mradi wa Kiwanda cha mbolea or say Uranium......unakumbuka Richmond mkuu......tatizo tulilonalo sisi ni How to break even madilil.......mara nyingi tunafeli sana hapo.........

Cha msingi mkuu ni kupata data za uhakika kuhusu maamuzi yaliyotolewa na Mh Nagu..........
 
Nashangazwana watu wanaosema kuwa Mary Nagu hawezi kufanya aliyofanya

Lakini ukweli ndio huo na kama wapo waandishi wa habari wanasoma hii wafuatilie wataambiwa picha kamili ilivyokuwa
 
Jamani, japokuwa mtoa mada hajaiweka wazi mada yake, lakini uamuzi wa kuanzisha Kiwanda ni lazima ufuate taratibu maalumu kwa mujibu wa sheria. Aidha, ili kuanzisha kiwanda kama cha mbolea ambacho kinatumia aina mbalimbali za kemikali hatari, ni lazima tathmini ya athari za kiwanda hicho kwa mazingira na wakazi wa eneo kilipo kiwanda vizingatiwe. Inawezekana hayo yote hayakufanyika na hivyo kumfanya Waziri Nagu kuchukua hatua hiyo. Mtoa mada, fanya kajiutafiti kidogo ili kupata majibu muhimu, kisha post upya mada yako tuisome na ikithibitika ni hivyo, tuchambue uamuzi wa huyo Mama kupinga ujenzi wa kiwanda wakati Serikali yake inahamasisha Kilimo Kwanza.
 
Feasibility ilishafanyika

Environmental Impact assessment ilifanyika na ikaruhusu kiwanda kijengwe

sasa kwa nini serikali iliingialia mchakato wa private investment?

usiwe mvivu wa kusoma na kuelewa kila kitu kiko wazi hapo
 
Huyu jamaa analazimisha hoja. Atafute data za kutosha ili kujua ukweli, asiwe na ugonjwa wa kulazimisha hoja, acha hoja ijikite yenyewe
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom