gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,283
- 3,274
Natambua kabisa licha ya kuwa Makamba ni waziri wa nishati,lakini sina uhakika kama taaluma yake na kazi yake vinawiana.Hata hivyo issue ya taaluma yake sio tatizo kwani hata waziri wa Afya Ummy ni mwanasheria lakini anafanya vizuri kwenye wizara yake.
Nimejaribu kufuatilia distribution line za Tanesco maeneo mengi nchini watu wengi wanakumbwa na tatizo la umeme kuwa mdogo (low voltage) kitu ambacho kinapelekea wateja kuunguza vifaa vyao.
Yapo mambo kadhaa yanayopelekea tatizo hili mi nitaeleza machache:
1) Umbali kutoka transformer kwenda kwa mteja hautakiwi kuzidi 1000m,wateja wote wataounganishiwa umeme baada ya 1000m wataanza kupata umeme pungufu.
2) Ukubwa wa waya; Hiki nacho ni kigezo kingine ambacho kwa Tanesco hakizingatiwi kabisa na kimesababisha Sana low voltage. Distribution line inatakiwa kuwa na waya zenye size ya100mm lakini Tanesco wanatumia zaidi 25mm kitu ambacho kinasabaisha low voltage. Mh waziri vyombo vyetu vinaungua sana kwa upungufu wa umeme. Na ukweli tatizo la size ya waya kwenye distribution line ni la nchi nzima. Fuatilia isije ikawa kwenye makaratasi wameandika wamenunua waya za 100mm ilihali kwenye manunuzi ni 25mm cha juu watu wanakula.
3) Transforma overload, hili ni tatizo la trasforma kuzidishiwa mzigo usioendana na ukubwa wake japo smtz inaweza kuwa fase balancing.
Note: Nimeona Tanesco humu wanajaribu Kujibu kero ila wanahitaji mahali tatizo lilipo na namba za simu, tafali changamoto hizi ni za Tanzania nzima fuatilieni distribution line yenu badilisheni hizi waya za 25mm najua mnatambua haya yote ila mnafanya kusudi.
Thnx