Umetumwa kumsafisha eeeh... Kwako ndio safi uku kwetu unalipa na unaprint mwaka mzima.Honestly speaking nimeona maajabu kabisa ndani ya Wizara hii hasa kuondoka kwa ukiritimba kwenye kuomba Service line.
Yaani nimelipa through control number jioni na Kesho yake mchana mafundi wamekuja kuniunganishia. Within 24 hours baada ya malipo umeme tayari. This to me ilinishabgaza maana hakuna rushwa ni mie na mifumo tu.
Kwa hili napongeza Management ya TANESCO kwa kazi kubwa ya kurahisisha upatikanaji wa huduma.