Waziri Makamba: Msituhukumu, tupeni muda miradi ikamilike

Sijajua kwanini wananchi wanamwandama sana Makamba..! Huyu waziri kijana hana kosa lolote kwasababu yeye mwenyewe kakuta hali ya umeme ni mbaya sana nchini halafu siasa kibao. Imagine eti kufungiwa umeme Tsh 27,000/=?? Pia umeme wa TZ ni mchache mno kuweza kuhudumia watu zaidi ya 65m. Ujenzi wa bwawa utatuondolea hii shida na tutaacha kumlaumu mteule wa Rais ambaye ni waziri kijana Makamba.
Kufungiwa umeme wakati wa Makamba ni Tsh 800,000 toka Tsh 27,500 je hii ni sawa kwa Makamba ?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mbona mnawashwa sana mlisikia Makamba?
tuwashwe kwa lipi malalamiko 😎

kutwa kujiona anaonewa tusimuhukumu kwani sisi Mungu yeye kwa sababu alizoea kuhukumu anazamu wote tuko kama yeye mwambieni tunataka umeme maneno matupu ya kutaka kujitetea hatutaki
 
Ulishaambiwa ukatapike Bado unawashwa 😄😄
 
Sijajua kwanini wananchi wanamwandama sana Makamba..! Huyu waziri kijana hana kosa lolote kwasababu yeye mwenyewe kakuta hali ya umeme ni mbaya sana nchini halafu siasa kibao. Imagine eti kufungiwa umeme Tsh 27,000/=?? Pia umeme wa TZ ni mchache mno kuweza kuhudumia watu zaidi ya 65m. Ujenzi wa bwawa utatuondolea hii shida na tutaacha kumlaumu mteule wa Rais ambaye ni waziri kijana Makamba.
Kakuta hali ya umeme ni mbaya?
 
Huyu kijana sijui kwanini ana kiburi kiasi hiki na kudharau wananchi kutokana na matendo yake yasiyofaa
Kiburi na dharau ki vipi ?

kuna mwingine asipodanganywa akaambiwa ukweli anaona kadharauliwa

mwingine ukizungumza nae bila ya kucheka cheka anaona una dharau
 
Sijajua kwanini wananchi wanamwandama sana Makamba..! Huyu waziri kijana hana kosa lolote kwasababu yeye mwenyewe kakuta hali ya umeme ni mbaya sana nchini halafu siasa kibao. Imagine eti kufungiwa umeme Tsh 27,000/=?? Pia umeme wa TZ ni mchache mno kuweza kuhudumia watu zaidi ya 65m. Ujenzi wa bwawa utatuondolea hii shida na tutaacha kumlaumu mteule wa Rais ambaye ni waziri kijana Makamba.
Kalemani yeye alikuwa anautoa wapi umeme? Makamba hafai ni mwizi
 
Sijajua kwanini wananchi wanamwandama sana Makamba..! Huyu waziri kijana hana kosa lolote kwasababu yeye mwenyewe kakuta hali ya umeme ni mbaya sana nchini halafu siasa kibao. Imagine eti kufungiwa umeme Tsh 27,000/=?? Pia umeme wa TZ ni mchache mno kuweza kuhudumia watu zaidi ya 65m. Ujenzi wa bwawa utatuondolea hii shida na tutaacha kumlaumu mteule wa Rais ambaye ni waziri kijana Makamba.
Mbona atuchangii huduma ya minara ya cm ya akina VODA, TIGO n.k lakini wanatuletea huduma karibu kwa gharama zao na sisi tunaishia kununua vocha pekee hata simu siyo zao? Umeme ni huduma ya msingi na siyo biashara, TANESCO wanapata ruzuku ya pesa nyingi sn kwa mwaka.
 
H
Sijajua kwanini wananchi wanamwandama sana Makamba..! Huyu waziri kijana hana kosa lolote kwasababu yeye mwenyewe kakuta hali ya umeme ni mbaya sana nchini halafu siasa kibao. Imagine eti kufungiwa umeme Tsh 27,000/=?? Pia umeme wa TZ ni mchache mno kuweza kuhudumia watu zaidi ya 65m. Ujenzi wa bwawa utatuondolea hii shida na tutaacha kumlaumu mteule wa Rais ambaye ni waziri kijana Makamba.
Huyo alidai Bwawa la Mwalimu kukamilika Kuzalisha umeme, labda 2026. Tena hapo wawe wamejitahidi sana.
Alidai pia Tz yote, hakuna cranes za ukubwa hitajika kunyanyua milango ya maji bwawani, sifikiri kama anaweza kutuambia leo walikozitoa.

Kauli ya Leo ni kwamba 2024 tunatarajia Uzalishaji.

Anaongea kwa tahadhari zake binafsi kiasi kufanya upotoshaji wa makusudi. Ni mbinafsi, ni muhujumu.
 
Alikuwa akijibu maswali katika Program ya Mjadala ya Club House ya Msemaji wa Serikali.

========

Waziri wa Nishati, January Makamba amesema, takribani nusu ya miradi ya kimkakati iliyoainishwa na serikali ipo kwenye sekta ya nishati.

January amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassani kwa kuwaamini na kuwapa Jukumu hilo na akasema hata utamaduni wa kazi katika wizara hiyo umebadilika. Alisema hayo baada ya kujibu maswali katika programu ya mjadala katika Club House ya Msemaji wa Serikali.

"Sisi tunachoomba ni muda na subira, kwasababu kazi hizi matokeo yake yanachukua muda kupatikana na hukumu ya kazi tunayoifanya sasa tungeomba itolewe mbele kidogo na sio sasa," alisema.

January alisema miaka ya nyuma wizara hiyo ilikuwa na sifa mbaya ya rushwa, mikataba mibaya lakini sasa wizara hiyo na taasisi zake wana mipango mahususi kuhakikisha wanazingatia maadili.

Alisema takribani kila siku kuna zabuni inatolewa katika wizara hiyo na takribani watu 30 wanazikosa zabuni hizo kila siku hivyo wanaokosa wanakuwa na hisia kwamba waliopata hawakupata kihalali.

Habari Leo
Honestly speaking nimeona maajabu kabisa ndani ya Wizara hii hasa kuondoka kwa ukiritimba kwenye kuomba Service line.
Yaani nimelipa through control number jioni na Kesho yake mchana mafundi wamekuja kuniunganishia. Within 24 hours baada ya malipo umeme tayari. This to me ilinishabgaza maana hakuna rushwa ni mie na mifumo tu.
Kwa hili napongeza Management ya TANESCO kwa kazi kubwa ya kurahisisha upatikanaji wa huduma.
 
Cc haters
 
Hii ni generalization, mwaka nana niliporudi nimetembea sana mikoa mbalimbali, wapo watu nawafahamu wamelipia zaidi ya mwaka sasa bado hajapata huduma.

Ni sawa na mtu akamatwe na traffic kule bunju alafu asitoe hata mia, aje aseme traffic sasa hivi hawataki rushwa. Bila kujua ilikua bahati yake nzuri
 
Back
Top Bottom