UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,346
Hilo jibu sasađź–•Ni mijibwa
Hilo jibu sasađź–•Ni mijibwa
wizara hiyo rushwa haiwezi kukoma hata siku moja.taasisi kama tanesco useme kuwa hakuna rushwa wakati kila siku watu wanazungushwa kuunganishiwa umeme!taasisi hiyo ni kielelezo tosha kuwa hata juu hali ni ile ile tu.Alikuwa akijibu maswali katika Program ya Mjadala ya Club House ya Msemaji wa Serikali.
========
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema, takribani nusu ya miradi ya kimkakati iliyoainishwa na serikali ipo kwenye sekta ya nishati.
January amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassani kwa kuwaamini na kuwapa Jukumu hilo na akasema hata utamaduni wa kazi katika wizara hiyo umebadilika. Alisema hayo baada ya kujibu maswali katika programu ya mjadala katika Club House ya Msemaji wa Serikali.
"Sisi tunachoomba ni muda na subira, kwasababu kazi hizi matokeo yake yanachukua muda kupatikana na hukumu ya kazi tunayoifanya sasa tungeomba itolewe mbele kidogo na sio sasa," alisema.
January alisema miaka ya nyuma wizara hiyo ilikuwa na sifa mbaya ya rushwa, mikataba mibaya lakini sasa wizara hiyo na taasisi zake wana mipango mahususi kuhakikisha wanazingatia maadili.
Alisema takribani kila siku kuna zabuni inatolewa katika wizara hiyo na takribani watu 30 wanazikosa zabuni hizo kila siku hivyo wanaokosa wanakuwa na hisia kwamba waliopata hawakupata kihalali.
Habari Leo
Kama wewe.Ni mijibwa
Wazungu walituchoka na neno "twende tu" wakidhani ni "twenty two" kila wakiuliza zimebaki kilometer ngapi wanajibiwa "twende tu". Mwishowe wakasoma 30Km, 50Km na 60Km na hawajafika wakaishia kuwachapa wasaidizi makofi. Stupida kabisa.Alikuwa akijibu maswali katika Program ya Mjadala ya Club House ya Msemaji wa Serikali.