Waziri Maige na nyumba ya Sh milioni 656m

Kiongozi nakwambia hawa mwisho wao umekaribia flu!
Hili hakika halitawaacha!
maie mwongo wa kupindukia biashara ya magari 2 haiwezi kuzalisha pesa nyingi kiasi hivyo labda maroli yake yalikodisha kubeba meno ya tembo, twiga toka porini kwenda airport hapo angeweza kulipwa us dolla 20,000 kwa mwezi vininevyo kiini macho na haiwezekani alimkopesha dada yake kwa mila na desturi za wasukuma aseme alimwazima pesa sio alipe na liba kidogo anatuzuga tu sisi watanzania mazuzu na ninaona wengi wameanza kumwamini
 
Does anyone buy into the kind of proof and justification he has provided? $20,000 dollars revenue per month from transport business having only two trucks i.e., $10,000 income per truck per month?
Namshukuru Maige kwa sababu kwa kauli yake hii amesaidia kuniaminisha yale maneno yaliyokuwa yakisemwa na watu wengine kuwa naye ni mwizi wa mali ya umma
 
Hivi mfano mapinduzi yakitokea hilo deni inakuwaje?
Anyway, hizo nyumba zitabaki mali ya umma.
Logistic initiated three years past then unakuja na statistic hii? never apply mazee umetuibia.
Hataki kusema aliuza wanyama wetu nje waarabu wakamnunulia nyumba worth 700,000$
 
Kwa maelezo ya huyo waziri, naona amejitahidi kujisafisha ila sina hakika kama kweli anasafishika. Amewapa wadau kazi na sasa watuwekee vilelezo kuonesha kuwa anasema uongo.
 
acheni wivu mbona kanyumba tu haka ka kawaida sana! hamwajui wenye majumba hapa bongo? wivu tu wa kike kike!
 
Nadhani Waziri Maige kajitahidi kueka record straight . Kwa issue hii ya jumba ake/lao sioni tatizo.
 
Tatizo ulikurupuka kulinunua. Umelinunua bila plan. Kama una biashara ambayo hilo semi linafacilitate transportation ya mizigo yake, unaweza kumake up to net of $15,000 in a month!

Rejao wacha urongo........mimi niko kwenye hii line kwa miaka nane sasa......gari inaweza kwenda Congo si zaidi ya mara mbili kwa mwezi......40 feet container napeleka kwa $4,500 mpaka Lubumbashi kabla ya kutoa gharama.......HUYU WAZIRI NI MWONGO SANA.....atakachokuwa anafanya ni kudipositi pesa kweneye hiyo kamuni ingine halafu wao wanamlipa hizo $10,000 ili tuone anafanya biashara nao.......VINGINEVYO KILA MTU ANGENUNUA SEMI-TRAILER!
 
Does anyone buy into the kind of proof and justification he has provided? $20,000 dollars revenue per month from transport business having only two trucks i.e., $10,000 income per truck per month?

Labda kama wateja wake walikuwa ni idara za wizara zilizo chini yake!
 
labda kiingereza kigumu, hivi alipata kwanza pesa toka bank ndio akapeleka hati au alipata kwanza hati ndio akapata mkopo toka bank? Hapo hapo ana mkopo wa gari la mbuge, anasaidia wapiga kura wake wanaoomba pesa, ana familia pia inataka mahitaji yote.
 
Pia kuna hotel ipo hapa Wilaya ya kahama inaitwa MONGO HOTEL kuna fununu Maige ameinunua. Ningekua na uwezo ningewawekea pics za hotel iyo.
 
we nawe kajizi kengine huko serikalini
mtapasuka matumbo yenu muda sio mrefu
atueleze pia zile miliion 500 alizotoa jimboni kwake alizipata wapi kama hela ya nyumba alikopa CRDB
sasa ni muda wa kukoa sheria za china tuwanyonge wote hawa mafisadi enough is enough bwana
Unaota au? Kwa mwezi hiyo revenue ni ndogo sana. Magar ya mizigo yanalipa sana.
 
wapendwa wana jamii wenzangu. Ninapenda kushare nanyi juu ya hii habari niliyoisoma leo kwenye gazeti la Citizen likieleza jinsi waziri Maige Ezekiel alivyonunu nyumba yenye thamani ya millioni 656.
ninapendwa wanajamii wenzangu muweze kufanya analysis kali ya jinsi mawaziri au viongozi wetu wanavyoweza kupata uwezo wa kuwa matajiri ili hali mtu wa kawaida ambae ni maskini akizidi kuwa maskini. Hapa si maanishi waziri awe maskini hapana ila nataka kusema kuwa matumizi hayo makubwa ni kiashirio kikubwa cha tofauti ya kipato (Income gap) na kuongezeka kwa umaskini na utofauti mkubwa wa wenye nacho na wasiokuwa nacho. Wakati nchi ikiwa imegubikwa na mtikisiko mkubwa wa kiuchumi na maamuzi mabovu ya watendaji wa serikali hasa mawaziri, baadhi ya mawaziri wanapata uwezo mkubwa au kwakutumia ofisi zao au ushawishi walionao kuweza kujilimbikizia mali ili hali mwananchi wa chini akiendelea kuteseka. Kutoka na maelezo ya waziri Maige kuwa amekopa benki na bado anahisa kwenye kampuni ya usafirishaji inayoendeshwa na mkewe moja kwa moja ameingia katika kundi la wanasiasa wafanyabiashara na hivyo kuleta mgongano wa kimaslahi jambo ambalo wakati wa Mwalimu Nyerere mambo haya hayakuwepo. Je nini kifanyike?
 
labda kiingereza kigumu, hivi alipata kwanza pesa toka bank ndio akapeleka hati au alipata kwanza hati ndio akapata mkopo toka bank? Hapo hapo ana mkopo wa gari la mbuge, anasaidia wapiga kura wake wanaoomba pesa, ana familia pia inataka mahitaji yote.

Hahahaaa umeona eeh?
 
Mbona hii habari kutoka The Citizen na ukisoma ya kutoka Mwananchi zinatofautiana af zote kutoka kampuni moja? Au aliitisha press conference tofauti?
 
Kuwa na nyumba ya bei mbaya si dhambi. Waziri katoa vielelezo vya kipato chake na kasema karipoti assets zake.

Kama kuna sehemu mna habari kaiba au kala rushwa toeni hizo habari. Kama kuna conflict of interest waziri ku own hizo businesses, spell that out. Kama assets / income yake haitoshi let's discuss that. Kama hajaripoti vitu that is fair game kummulika.

Lakini si kumsema mtu kwa sababu ana nyumba ya bei mbaya.

Innocent until proven guilty, not the other way around.

Mie nina nyumba za midola laki kadhaa each, moja just under half a mill, na wala sina hata position ya kufanya ufisadi. Mikopo tu na mortgages, unazungusha hela mjini. Hata nyumba zenyewe sizihesabu kama zangu kihivyo mpaka nitakapolipa mikopo ya watu.

Tusifanye umasikini wetu utupofushe tukose kujua hata maana ya mortgage.

- Duh!

Willie!
 
Back
Top Bottom