Waziri Maige na nyumba ya Sh milioni 656m | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Maige na nyumba ya Sh milioni 656m

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndjabu Da Dude, Apr 26, 2012.

 1. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Minister tells how he bought Sh656m house


  [​IMG]

  Natural Resources and Tourism minister Ezekiel Maige

  By Mkinga Mkinga | The Citizen Reporter
  25 April 2012


  Natural Resources and Tourism minister Ezekiel Maige yesterday denied reports that he acquired a posh house in Dar es Salaam's upmarket Mbezi Beach area through corruption.

  Mr Maige told The Citizen in an exclusive interview that he bought the house on Plot 2001-2002 Block E for $410,000 (about Sh656 million at current exchange rates).

  Media reports this week said the minister bought the one-storey house for $700,000 (about Sh1.1billion).

  Mr Maige said he obtained two loans – of Sh184 million and $200,000 (Sh320 million) – from CRDB Bank.

  Showing this reporter the loan acquisition and house purchase documents, the minister said the market price of the home sold to him by Savanna Real Estate, was $450,000, but he bought it for $410,000.

  According to loan documents made available to this newspaper by Mr Maige, he began servicing the second loan in January, this year, and will repay it over 48 months to December 2015 at a monthly rate of $5,127 per month (Sh8,203,200). He said this was well within his means since he has income generating businesses. "I secured the $200,000 loan from CRDB Bank after using my house worth $410,000 as collateral and surrendering the title deed to the bank," Mr Maige said.

  Mr Maige said he found it easy to buy a new house rather than build a new one.
  He said he had declared all his property with the Secretariat for Leadership Ethics Commission, and showed copies of his declaration forms.

  Mr Maige, who also declared to have shares in MEM Logistic Company which is run by his wife, said the company deals with cargo transportation to the Democratic Republic of Congo.

  He said for the time being he has two trucks which earn him about $20,000 per month.

  He said he created the transportation firm after he had acquired a loan through Parliament in 2005.

  "You need to know that I'm in conflict with a certain group of people….this wrangle has been caused by my stand on issues at the ministry, the decision to sack some officials at the ministry headquarters has created tension among my enemies who were benefiting from those culprits," Mr Maige said

  Without mentioning the names of ‘his enemies' but categorically indicating that they are among members of the Parliamentary Committee responsible for Lands, Natural Resources and Environment, he said some of the them have been agents of the hunting block deals in collaboration with some officials at the ministry.

  Reached for comment yesterday, an agent for the minister's house Mr Athuman alias Ustaadhi said Maige bought one of the four apartments which was put on business some months ago now.

  He could not shed more light on how the minister acquired the house, but distanced himself from the saga. On Monday, Parliament asked the government to discipline Mr Maige following corruption and ineptitude accusations by some staff under his watch.

  A report of the Parliamentary committee on Lands, Natural Resources and Environment revealed disorder in hunting blocks allocation and inappropriate issuance of permits and licences to hunt and export wildlife.
   
 2. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Does anyone buy into the kind of proof and justification he has provided? $20,000 dollars revenue per month from transport business having only two trucks i.e., $10,000 income per truck per month?
   
 3. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hawa wanatumalizia nchi yetu kwanini hukumu ya kunyongwa isiwapitie hawa watu.Wanasheria wa chadema embu chukueni maamuzi magumu kwa watu kama hawa manake wawo kwa wawo wataendelea kulindana.Wapelekwe mahakamani jamani huyu mtu naye ni fisadi wa kutupwa
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  safi sana maige endelea kuuza na tembo ujenge jumba jingine
   
 5. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Na hiyo MEM Logistics Co. naona kirefu chake kitakuwa "Minister Ezekiel Maige Logistics Company"
   
 6. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Unaota au? Kwa mwezi hiyo revenue ni ndogo sana. Magar ya mizigo yanalipa sana.
   
 7. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 8. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Una ushahidi wowote?
   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Am in the same business!
   
 10. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,177
  Trophy Points: 280
  Kuwa na nyumba ya bei mbaya si dhambi. Waziri katoa vielelezo vya kipato chake na kasema karipoti assets zake.

  Kama kuna sehemu mna habari kaiba au kala rushwa toeni hizo habari. Kama kuna conflict of interest waziri ku own hizo businesses, spell that out. Kama assets / income yake haitoshi let's discuss that. Kama hajaripoti vitu that is fair game kummulika.

  Lakini si kumsema mtu kwa sababu ana nyumba ya bei mbaya.

  Innocent until proven guilty, not the other way around.

  Mie nina nyumba za midola laki kadhaa each, moja just under half a mill, na wala sina hata position ya kufanya ufisadi. Mikopo tu na mortgages, unazungusha hela mjini. Hata nyumba zenyewe sizihesabu kama zangu kihivyo mpaka nitakapolipa mikopo ya watu.

  Tusifanye umasikini wetu utupofushe tukose kujua hata maana ya mortgage.
   
 11. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,265
  Likes Received: 4,238
  Trophy Points: 280
  Mkopo analipa hadi 2015 halafu nyie mnataka ajiuzulu,hata ningekuwa mimi sijiuzulu labda raisi aniondoe
   
 12. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahahaaha...but anazo other sources za kipato. Sidhani kama hii itampa shida sana.
   
 13. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  That's a good one, mkuu! Lol!
   
 14. p

  politiki JF-Expert Member

  #14
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160

  nenda kasome ripoti ya lembeli utapata ushahidi wote. hakuna mtu yeyote anayefanya biashara ya malori na kutengeneza pesa nyingi kiasi hiki na hata kama kama ingekuwa ni kweli biashara ya magari ninayoifahamu mimi ukitoa gharama za mafuta na gharama za uendeshaji kwa ujumla ukipata faida ya $2000 utakuwa na bahati sana.
  ukiona mtu anaji stretch kwa kuchukua mikopo mikubwa namna hiyo basi ujue kuna pesa ameficha mahala na anatumia mkopo wa benki kushikizia tu. ushahidi mwingine ukitaka kujua kama huu ni uongo mtupu mwambie aweke income tax ya mwaka jana uone kama ajakimbia.
   
 15. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Swali kubwa hapa ni kwamba, jee, hiyo MEM Logistics Co, and possibly other sources of income anazotegemea leo hii, vilianza kabla au baada ya kuwa Waziri?
   
 16. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #16
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Nadhani waandishi wa habari wameshindwa kumwuliza swali la msingi; kama alitengeneza $ 20,000 x 12 = $ 240, 000 mwaka jana, alilipa kodi kiasi gani? Na jee anaweza kuonyesha hizo risiti ili watu waoanishe na zile za rekodi za TRA?
   
 17. magosha

  magosha JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huo ni upepo utapita tu na waziri maige ataendelea tu kuuza twiga mpaka waishe.
   
 18. p

  politiki JF-Expert Member

  #18
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  mjomba anatumia kampuni hiyo kama bracket lake hili wakimuuliza chanzo cha mapato yake basi awe na pa kusemea. huyu ni kama drug dealer anaanzisha kikampuni cha kubangaisha ili kuwazuga watu na kama ukitaka kujua maneno yangu yana ukweli mwambie atoe income tax ya mwaka kwa maana itaonyesha mapato na matumizi hapo ndio utajua uongo wa huyu bwana.
   
 19. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #19
  Apr 26, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Sasa ushahidi kama huo wa TRA hivi kweli Waziri mzima ashindwe kuchakachua kutokana na wadhifa wake? Si TRA wangemtengenezea tu makabrasha yanayokubalika hata Mahakama Kuu?
   
 20. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #20
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Kiongozi nakwambia hawa mwisho wao umekaribia flu!
  Hili hakika halitawaacha!
   
Loading...