Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Hata barbara ya Tegeta Kibaoni- Wazo -Goba bajeti yake ilipitishwa mwaka jana na akaahidi kuijenga. Hilo halikufanyika. Majuzi wamekuja kuweka mabango ya kuanza ujenzi ili wasistukiwe.
please nakuomba ukipita tena leo hebu piga picha alafu uitupie humu tuone.. maana nimeona hotuba yake ya jana ilikuwa ikiendana picha za maeneo anayoyasemea ila hiyo ya TABATA DAMPO to KIGOGO me naijua ni ya kupita kwa dharura tu kama huko kwengine hakupitiki. sasa mkuu we tuwekee picha tuione hiyo njia ili jamii iweze kubaini uongo wa MAGUFULINipo hapa nikisikiliza hotuba ya Bajeti ya wizara ya Ujenzi inayosomwa na Waziri John Magufuli. katika hotuba yake ameliambia Bunge sasa hivi kuwa UJENZI WA BARABARA YA LAMI KUANZIA TABATA DAMPO HADI KIGOGO UNAENDELEA.
Jamani mimi ni mtumiaji wa kila siku wa barabara hii ya Tabata Dampo Kigogo nikitokea Tabata Segerea kuelekea Mjini kwenye shughuli zangu. Mara ya mwisho nimepita leo hii jioni. ukweli ni kwamba WAZIRI AMELIDANGANYA BUNGE na hakuna hata dalili za kuwepo kwa ujenzi wa barabara ya lami zaidi ya kuharibika vibaya kwa barabara hiyo.
Nawaomba wabunge wa dar es salaam kusimama kidete kupinga uongo huu wa Magufuli ambao hauna faida kwa wananchi. Mnyika na Mbunge wa Kinondoni Idd Azan tafadhalini hakikisheni mnamwambia ukweli Magufuli kuwa amewadanganya wananchi na taifa lote kwa ujumba.
Mkuu Mwana Mpotevu, mimi hushangazwa tu pale viongozi wa Serikali na CCM wanaposema ukweli.Uongo nimeshazoea.Halafu wanakuwa 'wakavu' kweli kweli. Na hushangaa mara zisizozidi tano kwa mwaka
Hata barbara ya Tegeta Kibaoni- Wazo -Goba bajeti yake ilipitishwa mwaka jana na akaahidi kuijenga. Hilo halikufanyika. Majuzi wamekuja kuweka mabango ya kuanza ujenzi ili wasistukiwe.
Nipo hapa nikisikiliza hotuba ya Bajeti ya wizara ya Ujenzi inayosomwa na Waziri John Magufuli. katika hotuba yake ameliambia Bunge sasa hivi kuwa UJENZI WA BARABARA YA LAMI KUANZIA TABATA DAMPO HADI KIGOGO UNAENDELEA.
Jamani mimi ni mtumiaji wa kila siku wa barabara hii ya Tabata Dampo Kigogo nikitokea Tabata Segerea kuelekea Mjini kwenye shughuli zangu. Mara ya mwisho nimepita leo hii jioni. ukweli ni kwamba WAZIRI AMELIDANGANYA BUNGE na hakuna hata dalili za kuwepo kwa ujenzi wa barabara ya lami zaidi ya kuharibika vibaya kwa barabara hiyo.
Nawaomba wabunge wa dar es salaam kusimama kidete kupinga uongo huu wa Magufuli ambao hauna faida kwa wananchi. Mnyika na Mbunge wa Kinondoni Idd Azan tafadhalini hakikisheni mnamwambia ukweli Magufuli kuwa amewadanganya wananchi na taifa lote kwa ujumba.
Kitendo chako cha kumbagua Magufuli nami nasema haitakuja tokea mchaga akawa president wa Tangayika na Tanzania
Huyu ni mzigo namba 2 baada ya Pinda,mbwembwe zake hasa anapokutana na wananchi zinakera sana wakati hakuna uhalisia wa anachokisema
Unashangaa hiyo, je ya Mbunge wa Nkasi (Keissy) kuwa wakati wa ziara ya Kinana watendaji wa serikali walifukia mashimo matupu na kumwambia kuwa ndani kuna mabomba ya maji na muda si mrefu wananchi wa Nkasi wataanza kupata huduma hiyo majumbani mwao? Chezea serikali ya CCM wewe?
ujenzi wa barabara ni mkubwa wakuu labda alimaanisha wanaendelea kuwalipa wananchi, na michoro bado inaendelea kuandaliwa. UJENZI NI PROCESS NDEFU SANA
Nipo hapa nikisikiliza hotuba ya Bajeti ya wizara ya Ujenzi inayosomwa na Waziri John Magufuli. katika hotuba yake ameliambia Bunge sasa hivi kuwa UJENZI WA BARABARA YA LAMI KUANZIA TABATA DAMPO HADI KIGOGO UNAENDELEA.
Jamani mimi ni mtumiaji wa kila siku wa barabara hii ya Tabata Dampo Kigogo nikitokea Tabata Segerea kuelekea Mjini kwenye shughuli zangu. Mara ya mwisho nimepita leo hii jioni. ukweli ni kwamba WAZIRI AMELIDANGANYA BUNGE na hakuna hata dalili za kuwepo kwa ujenzi wa barabara ya lami zaidi ya kuharibika vibaya kwa barabara hiyo.
Nawaomba wabunge wa dar es salaam kusimama kidete kupinga uongo huu wa Magufuli ambao hauna faida kwa wananchi. Mnyika na Mbunge wa Kinondoni Idd Azan tafadhalini hakikisheni mnamwambia ukweli Magufuli kuwa amewadanganya wananchi na taifa lote kwa ujumba.
acha ukabila mkuu. anajadiliwa mgufuli kwa uwezo wake na sio kwa ukonongo, uzinza au ukara wake
sasa huyo mchepuko wa mboye hawezi kuelewa anawaza ujenzi wa bara ni kama kujenga mlimani chumba kimoja kama bucha na kuhamia
usirukie kitu kama hukifahamu unajua huyo ameandika nini na nikaamua kumjibu nikwambie tu mimi sitoki kabila moja na Magufuli wala ukanda mmoja.