Waziri Maghembe: "TANESCO, ukiritimba too much"

Waziri Maghembe: "TANESCO, ukiritimba too much"

Wanajv, Jana Siku Nzima kwenye mashine za kuuzia umeme za luku karibu nchi nzima hawakuuza umeme eti kisa mtandao ulikuwa down. Kuna watu wamelala giza na hela zao mkononi huku wakihitaji huduma hiyo muhimu bila mafanikio. My take, Pamoja na kupandisha bei ya umeme kwa Madai ya kuboresha huduma, huo ndio uboreshaji wenyewe?
 
Ni kweli Tanesco wamekuja na mbinu mpya ya mgao. Utake usitake. Wanauza umeme kwa kiwango fulani na wengine itabidi waupate umeme mambo yanapokuwa shwari. Au pengine lile swala la kilindana bado lipo. Kwani aliyepewa tenda ya network ni mtoto wa fulani au katoa kitu kidogo, kumkaripia huyu ni kazi kwelikweli. Nina hakika kabisa ukiulizia hasa tatizo lipo wapi itachukuwa takriban siku nzima kutoa maelezo ambayo sana sana yatakuchanganya na usielewe kitu. Hii ndio TZ.
 
Habari za muda huu wadau,kama kichwa cha habari kinavyosema,nimefanya wayaring ,nikaenda kuchukua fomu ya maombi ya awali ya kupata umeme kama wenyewe wanavyoita.
Fomu nilichukua tarehe 2.1.2013.na nikarudisha tarehe 7.1.2013.wakaniambia tupe namba ya simu tutakupigia ili savea aje.
Cha ajabu hadi leo.sijapigiwa simu na wala savea hajaja,sasa TANESCO kufanyiwa savey tu mwaka sasa je kuwekewa umeme si utachukua miaka kadhaa?
BADRA MASOUD,meneja uhusiano wa tanesco najua ni member humu aje atueleze kuhusu hawa masavea wa shirika.
Nilijaribu kuwauliza watu wengine wakaniambia unatakiwa umtafute pale ofisini na umpe angalau elfu thelethini ili akufanyie mambo yako haraka.
Sasa hawa si wanalipwa? Kwa nini tuwape tena hongo?
TANESCO jirekebisheni,ndio maana sasas hivi watanzania wengi wamehamia kwenye solar power kwa sababu ya usumbufu toka kwenu.
 
Mkuu usiwe na mkono wa birika japo ni haki yako,,,wazee wa kata washa kata washa.
 
Una mwaka mmoja tu unalalamika, wengine tunekaa si chini ya 3 na bado tunaendelea subiri hiyo cku
 
Una mwaka mmoja tu unalalamika, wengine tunekaa si chini ya 3 na bado tunaendelea subiri hiyo cku
Na bado mwaka huo ukifika ajiandae kupambana na ukosefu wa vifaa yaani mara mita hamna lakini inapatikana ofisi yetu nyingine wilaya jirani kama utatuwezeshe mafuta tuifuate.
 
Na bado mwaka huo ukifika ajiandae kupambana na ukosefu wa vifaa yaani mara mita hamna lakini inapatikana ofisi yetu nyingine wilaya jirani kama utatuwezeshe mafuta tuifuate.

Ushauri wa bure, funga solar power ya uhakika then hutajutia
 
Taifa lililo laaniwa kwa rushwa mi nakumbuka nilijaribu kufuata system kwa kusema ntakomaa nao bila kuwapa kitu kidogo nilikwama nijan kwan hata ukienda kwa meneja anakurudisha huko huko kwa vijana wanaotaka rushwa nahisi hata mameneja kuna jinsi wanamaslahi ni rushwa hizi vijana wanazo-collect.
Nikakubali yaishe nikampa surveyer 50thou baada ya wk kitu waaaaaa.
Na nilisota kama miezi 3 giza.

NO WHERE TO RUN MKUU.
 
Wadau maeneo ya kitunda toka asubuhi wamekata umeme,umekuja kurudi saa moja usiku,sasa wamekata,wanarudisha kisha wanakata sasa mara ishirini nzima,na leo ndio nimepata machungu ya bei ya luku,kudadek bad service
 
acha majungu taarifa umetoa wapi au ndio kuongea tu
 
Yaan tanesco kama dudu linalokunywa dam za watu, hiv hakuna uwezekana wakuu tukawa na mbadala wa hawa wanyonyaji? Maan m nkisikia tanesco kama nmekutana na jambaz hvi linanpokonya sim fedha na kila kitu, halafu linaondoka kwa ishara kuwa siwezi kulifanya chochote!kiukwel tanesco mnaboa,
 
Hali ya maisha yazidi kuwa ngumu kutokana na kukosekana kwa umeme kwa zaidi ya wiki moja sasa!
Gharama kuchaji simu kwenye jenereta sh 1000/=
 
Mbadala hawawezi kuwaleta,coz watakopa wapi? Watatumia umeme wa bure wapi?mana mfano mzuri govt inadai pesa nyingi na wanaharamu hao
 
Tanesco walishawatangazi tatizo ni nini* Bombeda hajaliona hili au alishafulia kisiasa.
 
Back
Top Bottom