Waziri Lukuvi, kibanda hiki kipo katikati ya jiji la Dar kwa zaidi ya miaka 20!

khaleeddidii

Member
Feb 12, 2016
5
3
Waziri wa ardhi, RC Paul Makonda, hiki kibanda kimejengwa barabarani kabisa kwa zaidi ya miaka 20, mmiliki wake anafahamika na analindwa na maofisa wa hovyo hovyo. Kibanda hiki kiko nyuma ya conti car kwenye ukuta wa Sinota Ship mtaa wa Maktaba zilipo ofisi wauzaji wa magari ya Renault, hauhitaji elimu ya mipango miji kujua kuwa kibanda kimejengwa barabarani.

Mh waziri na uongozi wa jiji tuondeleeni hiki kibanda!

image.jpeg
image.jpeg
 
Huu sasa wivu wa kijinga, sasa wakiondolewa utawapokea waje kulala kwako na familia yao mkuu??
 
Huu sasa wivu wa kijinga, sasa wakiondolewa utawapokea waje kulala kwako na familia yao mkuu??
Bado nakushangaaa hivi unaelewa maana ya rule of law au na wewe ni miongoni mwa wale waliopewa jina na mkuu
 
Bado nakushangaaa hivi unaelewa maana ya rule of law au na wewe ni miongoni mwa wale waliopewa jina na mkuu
Rule of law! Unataka kusema mamlaka husika hawajaona jengo lake au nyie ndiyo ma-facilitator!!
 
Mh waziri wa ardhi, mh rc paul makonda, hiki kibanda kimejengwa barabarani kabisa kwa zaidi ya miaka 20,mmiliki wake anafahamika na analindwa na maofisa wa hovyohovyo, kibanda hiki kiko nyuma ya conti car kwenye ukuta wa sinota ship mtaa wa maktaba zilipo ofisi wauzaji wa magari ya Renault, hauhitaji elimu ya mipango miji kujua kuwa kibanda kimejengwa barabarani.
Mh waziri na uongozi wa jiji tuondeleeni hiki kibanda!
Dead
 
Hivi unawajua wale walio mega sehemu ya ardhi ya jangwani girls wakajenga yard ya magari ! By then Lukuvi alikuwa RC wa Dar (am stand to be corrected) Wazalendo wa Tanzania wapo ardhini wametangulia wengine ni akili za mihemko au mizuka. Reserve those words.
 
Naona wengi wanatukana tu, swali Je aliyejenga Kibanda Kavamia Barabara? Kama ni ndio kivunjwe tu, maana watu humu mmnafurahia watu wa maofisini wakitumbuliwa kwani wao hawana familia?
 
uzuri wa hapo mjini kila unachoona ujue ww co wa kwanza,uzuri wa hapo mjin kila unaemuona co boya kama unavyodhania japo maboya yapo tu!ila ukikurupuka tu unakuwa boya zaidi!kwahyo hapo mjin hakuna kibanda kwa mtazamo wangu wa kiboya
 
Waziri wa ardhi, RC Paul Makonda, hiki kibanda kimejengwa barabarani kabisa kwa zaidi ya miaka 20, mmiliki wake anafahamika na analindwa na maofisa wa hovyo hovyo. Kibanda hiki kiko nyuma ya conti car kwenye ukuta wa Sinota Ship mtaa wa Maktaba zilipo ofisi wauzaji wa magari ya Renault, hauhitaji elimu ya mipango miji kujua kuwa kibanda kimejengwa barabarani.

Mh waziri na uongozi wa jiji tuondeleeni hiki kibanda!
mkuu, kwani hichi kibanda kinashughulika na nini? mbona kinaonekana kama danguro? Paul Makonda uko wapi utuondolee hii kitu?
 
Back
Top Bottom