Waziri Kombo ampokea Rais Rutto kushiriki mkutano wa 25 wa EAC Arusha

Waziri Kombo ampokea Rais Rutto kushiriki mkutano wa 25 wa EAC Arusha

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
259
Reaction score
199
Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Dkt. William Samoei Ruto amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Mkoani Kilimanjaro, kushiriki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika leo tarehe 7 Machi, 2026 katika Makao Makuu ya Jumuiya jijini Arusha.

Akiwasili Mkoani humo amepokelewa na Mhe. Mahmoud Thabit Kombo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiambatana Viongozi Waandamizi mbalimbali wa Serikali
IMG-20260307-WA0038.jpg
IMG-20260307-WA0040.jpg
IMG-20260307-WA0042.jpg
IMG-20260307-WA0044.jpg
IMG-20260307-WA0036.jpg
IMG-20260307-WA0034.jpg
IMG-20260307-WA0032.jpg
IMG-20260307-WA0030.jpg
IMG-20260307-WA0028.jpg
 
I'm interested in this lady who is she?
Screenshot_20260307-101120.png

By the way huyu kifutu endapo kikinuka si atazidiwa mbio na sisi?
Screenshot_20260307-101244.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom