Waziri Kombani Ndani Ya Sakata La Jerry Muro

Mamaaaa; Mkuu nisamehe bureeee, kumbeeee . . . Jamani mambo mengine hadi tunasahau . . . ..

Mi nilijua tu memory card yako ipo full kwa hiyo ukawa una delete mambo ya zamani na kujaza mambo mapya hili ndilo kosa tunalo lifanya waTZ angalia siku hizi akina Karamagi wanavyo pumua nyimbo zao zote mmesha zifuta kwenye kumbukumbu zenu.
 
%5Ctendwakombani.jpg

Jamani pozi la kimahaba vile!!! Mzee Tendwa unamng'atia sikio mke wa mtu kitu gani tena?? Au ndiyo appointment jioni baada ya maswali na majibu???/ Nawe mkuu Superman naona achive ya picha za huyu mama mhhhh!!!!

Bottom line inakuwaje kampuni haikuwa katika tendering process, hence not evaluated!!! Zilizoingia tendering process ziwe disqualified then ile ambayo haikuwahi kuomba tender ipate kazi?? Tena kazi za kukusanya ushuru?? Very sensitive eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!! Je na ile inayokusanya ushuru Manispaa ya Kinondoni ni ya nani vile??? Achana na ile ya mzee KNMwiru!!!!!! Nayo tendering yake kizunguzungu!!!
 
Mambo hadharani sasa. Nigonggeni thanks! . . . . Moderator naomba mnisaidie kuirekebisha ikae vizuri. . . . . LOL

kombanimuro2.jpg

 
Superman huyu Kubenea toka atunge story ya Mwakalinga mm siku hizi namchukulia poa tu.
Kwa hapa atakuwa katengeneza nayo utaona huyo mama hajahojiwa ngoja niipitie.
 
Wakimfuatilia sana atasema 'wanamwonea kwa sababu yeye ni mwanamke'!

Ama kwa hakika SMU kama ulikuwepo, watasema ni wivu tu.. chuki...
Yale yale ya kina mama Mongella , tutaishia kumlipia.....
 
Hivi Wakulu; ufisadi tunaweza kuuwekea Scale au ni suala la opportunity tu?

Je, huyu mama SK, tuhuma zake za ufisadi zinaweza kumweka kwenye level moja na AC (Air Condition) aka V.G. Cent; EL; RA; NK; BM; nk?
 
Superman huyu Kubenea toka atunge story ya Mwakalinga mm siku hizi namchukulia poa tu.
Kwa hapa atakuwa katengeneza nayo utaona huyo mama hajahojiwa ngoja niipitie.

Mkuu Fidel80,

Kuna sentesi nilishaiona humu ndani ya JF ilinifurahisha sana.

Kubenea aliandika juu ya Mwakalinga na akaja akabwanwa hapa kama mjusi kwenye mlango. Macho yakamtoka pima kwa woga na nafikiri alipiga unyende.
Hadi leo hajaja kurekebisha hiyo habari ya Mwakalinga.

Ila tusiwe tunamhukumu Kubenea kuwa kila alisemalo ni UONGO.

Ile sentesi inasema "Hata saa mbovu, kuna muda inasema ukweli".
 
Kama huyu mama tushampa hukumu kwamba ni fisadi basi kimantiki ni kwamba tunakubali kuwa mshirika wake kwenye ufisadi huu (Jerry Muro) nae si safi ( kinyume na maoni ya wengi wakati sakata la Jerry Muro lilipolipuka kwa mara ya Kwanza )
 
Celina Kombani....

Aibu kubwa sana Waziri Mkuu anaenda kufukuza watumishi kazi halmashauri wakati waziri mhusika hata hajawahi kuagiza ufanyike uchunguzi,kumbe anafaidika na wizi huo. Ndiyo maana polisi wamelivamia suala la Jerry wamzime.
 
Sina hisa naye Fidel80 lakini mnamuonea tu . . . . LOL

Hata mahakama haijasema, mnamuonea tu Mkuu, hata Chenge, Lowassa, Rostam nk. wote mnawaonea . . . mahakama hazijawahukumu ati . . . .

Hata hoja ya mgombea binafsi pia mnalazimisha . . . Mahakama ya Rufaa bado haijaamua . . . . . haaa haaa . . .

Tanzania zaidi ya uijuavyo . . . . lakini mambo ni shwari tu, AMANI, MSHIKAMANO NA UTULIVU . . . . Karibuni Wawekezaji.

Mkuu yaani nimecheka kweli ..........
 
Celina Kombani....

Aibu kubwa sana Waziri Mkuu anaenda kufukuza watumishi kazi halmashauri wakati waziri mhusika hata hajawahi kuagiza ufanyike uchunguzi,kumbe anafaidika na wizi huo. Ndiyo maana polisi wamelivamia suala la Jerry wamzime.

Waziri mkuu Pinda kwanini asiPINDIshe maamuzi?
 
Huyu mama yaani huwezi kumdhania!

Waswahili husema USIYEMDHANIA NDIYE!! Mawaziri wote wa Tamisemi wanahongwa / wanakula na wakurugenzi wa Halmashauri!! Kikwete na Pinda wanajua mchezo huo na ndio maana huyu mama Kombani hatafanywa kitu ingawa taarifa za kikachero zinaonyesha alipewa fedha nyingi sana toka halmashauri ya Bagamoyo!!
 
Huyu mama yaani huwezi kumdhania!

Huyu mama hafai kabisa.

Nimemtafuta mwananchi mmoja aliyeko SUA ambako ndo mama huyu ametokea kikazi, yasemekana siyo mtu wa kuaminika. Hata ktk private life ana mengi ya aibu.

‘Misheni’ kila anapopata nafasi anazipenda. Pale SUA alikuwa yuko ktk nyadhifa za utawala na kwa muda murefu sana alizuia baadhi ya mabenki kupata mkataba wa kukopesha wafanyakazi wa SUA. Baada ya kuondoka kwake ndo siri ikafichuka kwamba alikuwa akiomba apewe chochote kwa nguvu.

Kwa haya sioni ajabu kwamba amehusika.

Hata hivyo uwaziri munafahamu alivyoupata??
 

Hata hivyo uwaziri munafahamu alivyoupata??

Unaweza saidia jukwaa kujua?

Mama Kombani Kiboko alifiwa na mama yake Dar akachukua ambulance ya wagonjwa Temeke na Magari kibao ya serikali kupeleka Msiba Mahenge!
 
Unaweza saidia jukwaa kujua?

Mama Kombani Kiboko alifiwa na mama yake Dar akachukua ambulance ya wagonjwa Temeke na Magari kibao ya serikali kupeleka Msiba Mahenge!

Say Whaaaaaat??????????????!!!!!!!!!!!!!

Sasa huo mzoga wake tena unaingizwa kwenye ambulance jamani? Au unamsingizia mwana wa mwanaume mwenzio????

Kweli Tanzania ni TAMBARALE.
 
Say Whaaaaaat??????????????!!!!!!!!!!!!!

Sasa huo mzoga wake tena unaingizwa kwenye ambulance jamani? Au unamsingizia mwana wa mwanaume mwenzio????

Kweli Tanzania ni TAMBARALE.

Ulizia mazee! Alichukua ambulance na magari kibao nyenye namba za STH kusindikiza marehemu mama wa waziri wa serikali
 
Back
Top Bottom