MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,200
Kwa mara nyingine CHADEMA imeendelea kuvurunda wakati wa uwasilishwaji wa hotuba ya kambi ya upinzani kuhusu wizara ya uchukuzi; msemaji wa hotuba ameonekana ni kituko ambaye hajafanya maandalizi;-
1. Hajiamini
2. Hotuba hakuipitia mapema
3. Hana kujiamini
4. Anababaika
CHADEMA muwe na maandalizi ya kutosha hili suala ni muhimu kwa ustawi wa taifa letu
1. Hajiamini
2. Hotuba hakuipitia mapema
3. Hana kujiamini
4. Anababaika
CHADEMA muwe na maandalizi ya kutosha hili suala ni muhimu kwa ustawi wa taifa letu