Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,502
- 86,050
Muda ukifika itajulikanaKwa kosa gani? Kumkamata Mbowe au kutoroka kwa Lijenje?
Muda ukifika itajulikanaKwa kosa gani? Kumkamata Mbowe au kutoroka kwa Lijenje?
WatakomaWanasahau kuwa siku hazigandi
Wacha watesekeWatakoma
Sio walimu ni wafanyakazi wote Tanzania ......mMakonda aliwai kuwaambia waalimu wakidai nyongeza ya mshahara atawacharaza viboko kama watoto, mbaki na hapo aliwai kusema ofisi yake imejaa wafanyakazi mizigo hawana kazi wanazunguka zunguka tu, , makonda aliku anawakosea sana watu
lakini sawa tu yaliyopita wayaache ashajifunza wamsamehe
Hahahaaaa...... Mtu kaingia Mawingu na mitutu unaunda tume ya nini?
Akhsante
CCM hawataki kulikamata gaidi lao..wamelilea wenyewe likakomaa.Kosa la jinai linasubiri ripoti ya tume ya nini?
MamaaaaeWaziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Ashatu Kijaji, amesema wizara inasubiri ripoti ya tume iliyoundwa kuchunguza tukio la aliyewahi kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, kuvamia kituo cha utangazaji cha Clouds mwezi Machi 2017.
Pia soma
Chatu walilofugaCCM hawataki kulikamata gaidi lao..wamelilea wenyewe likakomaa.
Ya Sabaya ilianza hivi hivi mkawa mnasema hivi hiviMakonda ni Kama mlima Kilimanjaro hamtomueza ccm ni Ile Ile
I hope ni fake news vinginevyo wanamapinduzi tutajua kwa uhakika sasa tunakabiliwa na kitu gani mbele yetu. Tena tutazidi kuona mpendwa wetu alihujumiwa maisha na wapinga maendeleo 5th columnWaziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Ashatu Kijaji, amesema wizara inasubiri ripoti ya tume iliyoundwa kuchunguza tukio la aliyewahi kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, kuvamia kituo cha utangazaji cha Clouds mwezi Machi 2017.
Pia soma
Kwenye ukuu wa mkoa unahitaji elimu au kumfurahisha mkuu?Un educated person akawa mkuu wa mkoa haya yanatokea Tanzania tu chini ya ccm
Wamchunguze kama alivunja sheria apandishwe kizimbani kujibu mashtaka! Mahakama ndio itaamua kama ana hatia ama laMakonda aliwai kuwaambia waalimu wakidai nyongeza ya mshahara atawacharaza viboko kama watoto, mbaki na hapo aliwai kusema ofisi yake imejaa wafanyakazi mizigo hawana kazi wanazunguka zunguka tu, , makonda aliku anawakosea sana watu
lakini sawa tu yaliyopita wayaache ashajifunza wamsamehe