Waziri Kijaji: Nasubiri ripoti ya tume inayochunguza upya tukio la Makonda kuvamia Clouds

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,654
2,000
Makonda aliwai kuwaambia waalimu wakidai nyongeza ya mshahara atawacharaza viboko kama watoto, mbaki na hapo aliwai kusema ofisi yake imejaa wafanyakazi mizigo hawana kazi wanazunguka zunguka tu, , makonda aliku anawakosea sana watu
lakini sawa tu yaliyopita wayaache ashajifunza wamsamehe
Sio walimu ni wafanyakazi wote Tanzania ......m
 
Sep 16, 2017
43
95
Nidham.za woga.zitawatafuna ana.alipokuwa akihudum.selikalin hakuwa mkifanya kazi mapusha wameka.msukumo hapa si bure
 

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
25,989
2,000
Waziri kwani ww hujui jamaa ni jambazi linalitamba mtaani

?? Wapi Ben? Wapi Azory..wapi marisasi ya Lissu?
 

kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
8,293
2,000
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Ashatu Kijaji, amesema wizara inasubiri ripoti ya tume iliyoundwa kuchunguza tukio la aliyewahi kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, kuvamia kituo cha utangazaji cha Clouds mwezi Machi 2017.

Pia soma


I hope ni fake news vinginevyo wanamapinduzi tutajua kwa uhakika sasa tunakabiliwa na kitu gani mbele yetu. Tena tutazidi kuona mpendwa wetu alihujumiwa maisha na wapinga maendeleo 5th column
 

Mzee Kigogo

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
4,994
2,000
Makonda aliwai kuwaambia waalimu wakidai nyongeza ya mshahara atawacharaza viboko kama watoto, mbaki na hapo aliwai kusema ofisi yake imejaa wafanyakazi mizigo hawana kazi wanazunguka zunguka tu, , makonda aliku anawakosea sana watu
lakini sawa tu yaliyopita wayaache ashajifunza wamsamehe
Wamchunguze kama alivunja sheria apandishwe kizimbani kujibu mashtaka! Mahakama ndio itaamua kama ana hatia ama la
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom