second in commander
Member
- Feb 9, 2021
- 6
- 16
Nakazia...anakurupuka sanaUmbwa kabisa
Huyu bado ana akili ileile ya MaweWaziri wa Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amesema kesho wataanza msako wa kukamata vifungashio vya plastiki kupitia NEMC na TBS .
Msako utakuwa kuanzia viwandani na mitaani
kwahiyo amewaza mpaka mwisho, akapata suluhisho la mfumuko wa bei ni msako wa vifungashio.Poor leader!Waziri wa Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amesema kesho wataanza msako wa kukamata vifungashio vya plastiki kupitia NEMC na TBS .
Msako utakuwa kuanzia viwandani na mitaani
Alilazimishwa na JPM, hakufanya kwa hiari mla rushwa yuleJanuari makamba alilimaliza suala hilo kwa amani huyu Jafo kazoea misuli.
Yani hana nyota au?Huyu jamaa hanaga mvuto