Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,030
- 3,324
Imenisikitisha kuona waziri akiandika maneno kama haya.
Hivi muda wa viongozi kujadili mambo kama haya wanautoa wapi
Hivi muda wa viongozi kujadili mambo kama haya wanautoa wapi
Eh!!!!??Huyo Babu... kamwambia ukweli haswa.. naenda kuisoma yote huko.
Ila awamu hii viongozi wengi.. ni mmmh!
ah ah cocochannel wamekunyima udc nn mama ...nakumbuka nilikua nikisomaga status zako unavyosifia chama hadi hasira siku hizi wa baridiii ah ah kidumu chama cha maselaHuyo Babu... kamwambia ukweli haswa.. naenda kuisoma yote huko.
Ila awamu hii viongozi wengi.. ni mmmh!
Naona umeanzA ku doubt....Huyo Babu... kamwambia ukweli haswa.. naenda kuisoma yote huko.
Ila awamu hii viongozi wengi.. ni mmmh!
Huyu kwenye awamu hii anampenda DAB peke yake.Eh!!!!??
Wewe huyuhuyu!!!?
Mnaoshangaa mtakuwa ni wageni, sisi wenyeji wala hatumshangai kwa tunaomfahamu kitamboImenisikitisha kuona waziri akiandika maneno kama haya.
Hivi muda wa viongozi kujadili mambo kama haya wanautoa wapiView attachment 919712
Mbona kama umeanza kubadili gia taratibu, wewe ulikua unasifia kila kitu, ila sasa unaonekana unatumia ubongo wako kufikiri.Huyo Babu... kamwambia ukweli haswa.. naenda kuisoma yote huko.
Ila awamu hii viongozi wengi.. ni mmmh!