Waziri Hamis Kigwangalla atumia lugha ya kihuni iliyowashangaza wengi Twitter

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
3,030
3,323
Imenisikitisha kuona waziri akiandika maneno kama haya.

Hivi muda wa viongozi kujadili mambo kama haya wanautoa wapi
IMG_20181103_093740_956.JPG
 
Nafikiri tungekaa kimya kuhusu hili swala Ila sheria zetu kwa watu wa nchi yetu ziwe wazi kuwa hatusapoti. Tukianza kuwapima wa mataifa mengine hapo tujiandae kurudi kwenye ukisiwa. Msimamo wangu ni kuwa Hii tabia ni chafu.
 
Back
Top Bottom