Waziri Chunguza ufisadi Ukarabati wa Bukoba Airport

Sep 30, 2014
95
47
Assalamu alaikum
Napenda kuchukua nafasi hii kumuomba Mh. Waziri wa ujenzi aunde kamati maalumu kuchunguza mradi wa ujenzi wa kukarabati Uwanja wa ndege wa Bukoba (Bukoba Airport) kwani umegubikwa na kila aina ya ufisadi uliohusisha watumishi wa serikali na mkandarasi mkuu kampuni ya MECCO.
Nimekuwa karibu na mradi toka mchakato wa zabuni hadi kukamilika kwa uwanja ambao hadi sasa tunavyoongea bado kuna mapungufu na hitilafu katika mifumo mbalimbali.
nahaidi hapa nitatoa ushirikiano wa kutosha ikibidi kutaja majina ya watumishi na kiongozi wa kampuni ya ujenzi MECCO.
NB: Nina nyaraka za mchakato mzima wa zabuni, majina ya wakandarasi wote waliouziwa kazi na MECCo na namba zao za simu,nina ushahidi wa watumishi waliochukizwa na ufisadi kwenye kwenye mradi huu wa ukarabati wa uwanja wa ndege Bukoba

Wenu
Raia Mwema
Bukoba.
 
Ziwasilishe hizo nyaraka kwa Mh waziri au Majaliwa, utaona action
 
Back
Top Bottom