FRANK UNDERWOOD
Senior Member
- Dec 2, 2014
- 103
- 37
BOT haihitaji CV kali sana bali connection kali sana hivyo usipoteze muda kutaka kuona CV ukidhani kwamba ukiwa nayo nawe utaula.Kumbe vicky kaenda shule hadi aliajiriwa Bot?? Dah! CV yake please wanajamv
Hahahahahaha. Ukweli mtupuBOT haihitaji CV kali sana bali connection kali sana hivyo usipoteze muda kutaka kuona CV ukidhani kwamba ukiwa nayo nawe utaula.
Waziri wa Mambo ya Ndani Charles Kitwanga. Ambaye amekuwa akilipwa BOT kwa miaka zaidi ya 6 bila kufanya kazi yoyote ile. Tusisahau kuwa ndiye waziri ambaye kazi yake ni nyeti sana lakini pia yumo kweli listi ya Magufuli ya BOT.
Huyu anasema ni ndugu yake Mhehsimiwa Rais Mgufuli hivyo yeye ni "UNTOUCHABLE" na hata kama Rais Magufuli anao ushaidi kuonyesha kuwa ni fisadi hakuna ambacho Mheshimiwa Rais anaweza kumfanya.
Sasa cha kujiuliza ni je Magufuli katika kusafisha kwake ataweza kumsafisha ndugu yake mwenyewe?
Mbunge VICKY KAMATA naye yumo kwenye listi ya ufisadi na malipo ya BOT
Hivi Magufuli anasubiri nini kuwawajibisha hawa watu ambao hawana nia nzuri na nchi hii?
Kitwanga ni ndugu yake Magufuli kabisa, so sahau chochote hapoKwanza Kitwanga kama ni Kweli anapaswa aachie ngazi Immediately.Hakuna Excuse yoyote. Huu ni utovu wa maadili .Sasa tutaona kama ule utafiti wa Nottingham University ni wa kweli na relevant kwetu ama la?
Hatari sana na haya utayasikia Tanzania tu, Mh Magufuli atuthibitishie kwamba yeye ni jasiri wa kupambana na Mafisadi kwa kumpiga Chini huyu Waziri wa Mambo ya Ndani na kuwafungulia kesi mara moja sio blah blah kibao na kuwa Pretender