FRANK UNDERWOOD
Senior Member
- Dec 2, 2014
- 103
- 37
Waziri wa Mambo ya Ndani Charles Kitwanga. Ambaye amekuwa akilipwa BOT kwa miaka zaidi ya 6 bila kufanya kazi yoyote ile. Tusisahau kuwa ndiye waziri ambaye kazi yake ni nyeti sana lakini pia yumo kweli listi ya Magufuli ya BOT.
Huyu anasema ni ndugu yake Mhehsimiwa Rais Mgufuli hivyo yeye ni "UNTOUCHABLE" na hata kama Rais Magufuli anao ushaidi kuonyesha kuwa ni fisadi hakuna ambacho Mheshimiwa Rais anaweza kumfanya.
Sasa cha kujiuliza ni je Magufuli katika kusafisha kwake ataweza kumsafisha ndugu yake mwenyewe?
Mbunge VICKY KAMATA naye yumo kwenye listi ya ufisadi na malipo ya BOT
Hivi Magufuli anasubiri nini kuwawajibisha hawa watu ambao hawana nia nzuri na nchi hii?
======================
Update;
Habari hii imekanushwa,
Wizara ya mambo ya ndani imekanusha habari kuhusiana na Waziri Charles Kitwanga kuhusika. Kwa taarifa zaidi tembelea - Waziri Charles Kitwanga akanusha kuendelea kulipwa mshahara na Benki Kuu (BOT)