Waziri Charles Kitwanga & Vicky Kamata wanahusika kwenye ufisadi wa kulipwa BOT kwa miaka 6

Status
Not open for further replies.
pic+kitwanga.jpg

Waziri wa Mambo ya Ndani Charles Kitwanga. Ambaye amekuwa akilipwa BOT kwa miaka zaidi ya 6 bila kufanya kazi yoyote ile. Tusisahau kuwa ndiye waziri ambaye kazi yake ni nyeti sana lakini pia yumo kweli listi ya Magufuli ya BOT.

Huyu anasema ni ndugu yake Mhehsimiwa Rais Mgufuli hivyo yeye ni "UNTOUCHABLE" na hata kama Rais Magufuli anao ushaidi kuonyesha kuwa ni fisadi hakuna ambacho Mheshimiwa Rais anaweza kumfanya.

Sasa cha kujiuliza ni je Magufuli katika kusafisha kwake ataweza kumsafisha ndugu yake mwenyewe?

vicky.jpg

Mbunge VICKY KAMATA naye yumo kwenye listi ya ufisadi na malipo ya BOT

Hivi Magufuli anasubiri nini kuwawajibisha hawa watu ambao hawana nia nzuri na nchi hii?
Jinsi ulivoelezea hapa nina shaka una chuki binafsi tu. Ulimsikia wapi akijitapa kua yeye ni ndugu wa raisi Na kwamba hawezi fukuzwa? Sidhani kama Kuna ukweli hapo.
 
Inafahamika tatizo la wafanyakazi hewa maofisini ni kubwa tz Na wanaokula hizo hela ni wahusika wakubwa wa ofisi hizo. Hivi inakuingia akilini Kitwanga muda wote tangu atoke bot ni waziri Na mbunge alikua Ana shida Na mshahara wa bot aliouacha akafuata ubunge? Ukiachilia mbali uwaziri kwa muda wote Huo yeye Ana kampuni kubwa tu. Huu uzi ni kelele za chura tu hazimzuii tembo kunywa maji. Magufuli anafahamu kua huyu hakuwa akila mshahara was bot tangu aache kazi so msitegemee chochote. Uzi wenyewe umeandikwa kwa chuki binafsi. Lete evidence kwamba hela ilikua inaingia kwenye account yake monthly. Kama zilikua zikilipwa basi zilikua zikipigwa juukwajuu Na watu wa utawala pale pale bot Na kama hiyo ni kweli basi watakaotumbuliwa ni was bot wahusika. Usitegemee waziri huyo atatumbuliwa eti alikua akila mshahara wa kazi asiyoifanya. Hapo mleta mada umegonga mwamba.
 
Mwanzoni nilishangazwa na kiwango cha ufisadi. Sasa hivi sishangazwi na chochote. Anything is possible. Watanzania ni walafi sana.
 
unajua enzi za JK ulikuwa unajua nothing will happen

Huyu Magu inaelekea hakuwafanya au hakufanyiwa vetting hawa watu wake
Well said, na vetting sasahivi inafanywa kwa nguvu zote... kuna watu wanafanyiwa vetting wamebakiza miaka 3 wastafu...
Muda wote huo hawakufanyiwa vetting..why?
 
Kama ni
Sio muda mrefu ujao Watanzania watakuja gundua kuwa uongozi wa Magufuli ni mbaya na ni wa unyanyasaji kwa wanyonge lakini pia wa Upendeleo kwa baadhi ya wanaccm.

TUSUBIRI TUONE.
Kama ni wewe ungefanyaje? Umeikuta nchi nzima uozo, kila Idara, kila Wizara kila....kila. Haiwezekani kusafisha kila kitu, tena kwa miezi michache.
Jamani, uongozi wa taifa si kama nyumba yako, au ukoo wako. Mimi binafsi, mpaka hapa alipofanya, nina imani na Magu kuwa ana nia njema na walio wengi, kwamba anachukia kwa dhati rushwa na ubadhirifu. ( Kiongozi gani TZ angegoma kuwapokea Maseneta wa Marekani kwa vile tu wana madili?) Hiyo yatosha. Kumbuka, hakulazimika kufanya hivi. Kama angetaka angeendeleza pale alipoachia JK. Na kwa hulka ya Wabongo, mngeendelea tu kulalamika humu mitandaoni lakini hakuna chochote kingemdhuru. Nothing, Zilch!
 
pic+kitwanga.jpg

Waziri wa Mambo ya Ndani Charles Kitwanga. Ambaye amekuwa akilipwa BOT kwa miaka zaidi ya 6 bila kufanya kazi yoyote ile. Tusisahau kuwa ndiye waziri ambaye kazi yake ni nyeti sana lakini pia yumo kweli listi ya Magufuli ya BOT.

Huyu anasema ni ndugu yake Mhehsimiwa Rais Mgufuli hivyo yeye ni "UNTOUCHABLE" na hata kama Rais Magufuli anao ushaidi kuonyesha kuwa ni fisadi hakuna ambacho Mheshimiwa Rais anaweza kumfanya.

Sasa cha kujiuliza ni je Magufuli katika kusafisha kwake ataweza kumsafisha ndugu yake mwenyewe?

vicky.jpg

Mbunge VICKY KAMATA naye yumo kwenye listi ya ufisadi na malipo ya BOT

Hivi Magufuli anasubiri nini kuwawajibisha hawa watu ambao hawana nia nzuri na nchi hii?
Kitwanga ni Untouchable sababu ya Uhusiano wake na JPM,
Je Vicky Kamata ni Untouchable sababu ya uhusiano wake na nani??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom