KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,708
- 4,428
Dharau kivipi we bwana?Sasa unaenda Hospital kufanya kama siku haijafika utaishi tu. Wewe unaongelea wepesi wana familia wanasema hawajui kimetokea nini haki yao kuuliza kumpa mtu huduma ya kwanza ni jambo muhimu kwa mgonjwa yoyote. Hakuna mtu analaumu mtu kufa wana familia wamehoji nini kilitokea hawajui anakuja mtu kutoa maelezo baada ya kuongea katika msiba mbele ya Rais kwanini wasingeambiwa kabla. Vikao kasema tulisogeza mbele kwa ajili yake alikuwa na majukumu mengine siku ya kikao kinaendelea yeye hayuko anajisikia vibaya. Ba uhakika hawahusiki na lolote ila hatua walizochukuwa ni dharau mtu hajisikii hovyo unasema kapumzike ofisi ile kwani alisema na usingizi sijalala mimi.
Hizo first aid procedure uliwafundisha?.
and hamna alietegemea Baba wa watu atafariki ndo mana walikuwa nae bado Ofisini ajiskilizie hali kwanza.,