Waziri Chamurilo: Familia(Mfugale) wameonesha sintofahamu (ombwe) kwamba ilikuwa haifahamu, Mhandisi Mfugale alisema anajisikia vibaya kikaoni

Hebu tuchanganulie utajiri wa mtu huyu. Ni vema tukajua ukwasi alionao iwapo unalingana na kipato chake.
Anayetakiwa kufanya hilo ni yule mshirika wake waliyeshirikiana kuiba. Mafisadi ya CCM yachunguzane. Ina make sense kweli.
 
Back
Top Bottom