Waziri Bashe katika makosa mengine ya kuepukika

Waziri Bashe katika makosa mengine ya kuepukika

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
3,117
Reaction score
5,321
Ni ukweli usiopingika kuwa waziri Bashe anafanya makosa yanayoweza kuepukika hususani yale yanayoweza kuhatarisha diplomasia ya nchi kwa nchi ambapo nyenzo kubwa ya kudumisha diplomasia ni mazungumzo na falsafa ya Rais Samia ya 4R inasimamia hilo.

Hili la kuzuia bidhaa kutoka Malawi na Afrika kusini ni kosa mmojawapo la kuepukika kupitia mazungumzo. Turejee ushauri niliotoa kwa waziri Bashe kwenye suala la mchele Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS
 
HV HUWA NAJIULIZA NN KAZI YA TISS? WAPO KWAAJILI YA CCM AU TAIFA?KINA BASHE WANAJIENDEA BILA WASHAURI
 
HV HUWA NAJIULIZA NN KAZI YA TISS? WAPO KWAAJILI YA CCM AU TAIFA?KINA BASHE WANAJIENDEA BILA WASHAURI

Ushauri ni swala moja, kupokea na kufanyia kazi ni swala lingine na endapo litaharibika haimaanishi hukushauriwa. Bahati mbaya ulowataja hubeba mizgo ya lawama ya kila aina na hawana wa kuwasemea wala msemaji. Wanapokea kama shimo la taka.
 
Back
Top Bottom