Waziri Bashe aache utoto wa kula kucha..

Bado yule mchokonoa pua...ukileta uzi wake iwe midaa ya saa tisa tukiwa tushapata cha mchana
 
Mimi nakusihi wewe mleta mada uwache kufuatilia maisha binafsi ya mtu ambayo hayana athari yoyote kwako

Yanayoathari kwa taifa, yeye hivi sasa ni "public figure", kuna mambo akiyafanya hajiaibishi yeye pekee bali taifa zima, utatafunaje kucha mkutanoni tena mkutano wa kimataifa??--- impression yake nini??!!-- ina maana yeye ni mchafu kwa sababu huwa hakati kucha kwasababu huwezi kutafuna kucha ikiwa huna kucha na huwezi kutafuna kucha za kawaida kwa meno isipokuwa lazima ziwe ni kubwa kiasi kwamba meno yaweze kuzing'ata.

Huo ni uchafu kwani kucha zikiwa ndefu ni nyumba ya maradhi si kwako tu hata kwa wale utakaosalimiana nao pia.

Bashe lazima akate kucha.🤣🤣
 
Tangu akiwa mbunge,huyu bwana hussein bashe amekua na tabia kama mtoto mdogo za kula kucha..hata baada ya kuteuliwa kuwa waziri wa kilimo bado ameendelea kula kucha,kama kuna mtu yuko karibu yake humu amwambie anajitia aibu na anatutia aibu watanzania,baba zima kama yeye kula kucha ni aibu.
Mfano leo kwenye vikao vya sadc camera zimemmulika yuko busy tu anagugumia kucha badala ya kuconcentrate na mambo ya msingi yanayoendelea mkutanoni.
sio utoto ni tabia ya kuzaliwa nayo ni kama watu wengine utakuta anapenda kukuna kidevu...wewe ndo uache utoto
 
Yanayoathari kwa taifa, yeye hivi sasa ni "public figure", kuna mambo akiyafanya hajiaibishi yeye pekee bali taifa zima, utatafunaje kucha mkutanoni tena mkutano wa kimataifa??--- impression yake nini??!!-- ina maana yeye ni mchafu kwa sababu huwa hakati kucha kwasababu huwezi kutafuna kucha ikiwa huna kucha na huwezi kutafuna kucha za kawaida kwa meno isipokuwa lazima ziwe ni kubwa kiasi kwamba meno yaweze kuzing'ata.

Huo ni uchafu kwani kucha zikiwa ndefu ni nyumba ya maradhi si kwako tu hata kwa wale utakaosalimiana nao pia.

Bashe lazima akate kucha.🤣🤣
Hivi Rais wa Tanganyika/Tanzania bara ni nani ?
 
Tangu akiwa mbunge,huyu bwana hussein bashe amekua na tabia kama mtoto mdogo za kula kucha..hata baada ya kuteuliwa kuwa waziri wa kilimo bado ameendelea kula kucha,kama kuna mtu yuko karibu yake humu amwambie anajitia aibu na anatutia aibu watanzania,baba zima kama yeye kula kucha ni aibu.
Mfano leo kwenye vikao vya sadc camera zimemmulika yuko busy tu anagugumia kucha badala ya kuconcentrate na mambo ya msingi yanayoendelea mkutanoni.
Picture
 
Hivi Rais wa Tanganyika/Tanzania bara ni nani ?

Hakuna tena kitu kinachoitwa Tanganyika, yenyewe ilikufa mwaka 1964 baada ya kuungana na Zanzibar.

Iliyopo badala yake ni Tanzania bara ambayo haina raisi tofauti na Zanzibar/Tanzania visiwani yenyewe inaye raisi.🇹🇿🇹🇿🤠🤠
 
Kwanini Zanzibar wana rais wakati Tanzania bara hakuna rais ?
 
Ndivyo katiba inavyosema kwa sasa, ni hadi hapo itakapobadilishwa wakati itakapoonekana ipo haja ya kufanya hivyo, hapo ndipo na Watanzania bara watakuwa na raisi wao.🇹🇿.

Hakuna matata.😁
 
Hakuna matata.
Sisi watz tuna muungano wa ajabu dunia nzima.
 
Jamani haijalishi huyu mleta mada ama midevu mingapi tupitishe mchango chapu chspu anastahiri zawadi ya kipande cha khanga na wigi
 
Back
Top Bottom