Waziri Bashe aache utoto wa kula kucha..

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,016
5,284
Tangu akiwa mbunge,huyu bwana hussein bashe amekua na tabia kama mtoto mdogo za kula kucha..hata baada ya kuteuliwa kuwa waziri wa kilimo bado ameendelea kula kucha,kama kuna mtu yuko karibu yake humu amwambie anajitia aibu na anatutia aibu watanzania, baba zima kama yeye kula kucha ni aibu.

Mfano leo kwenye vikao vya sadc camera zimemmulika yuko busy tu anagugumia kucha badala ya kuconcentrate na mambo ya msingi yanayoendelea mkutanoni.
 
Picha?
Tangu akiwa mbunge,huyu bwana hussein bashe amekua na tabia kama mtoto mdogo za kula kucha..hata baada ya kuteuliwa kuwa waziri wa kilimo bado ameendelea kula kucha,kama kuna mtu yuko karibu yake humu amwambie anajitia aibu na anatutia aibu watanzania,baba zima kama yeye kula kucha ni aibu.

Mimi nakusihi wewe mleta mada uwache kufuatilia maisha binafsi ya mtu ambayo hayana athari yoyote kwako
 
Kila MTU ana namna ya kufocus, kuna wengine wanakuna kichwa, wengine wanakula vizibo vya peni, wengine wanakula peni, so unapokutana na vitu vigumu vya kufikilia lazima utafute kitu cha kurefresh ubongo huku unafanyakazi ngumu ya kufikil,
Ni sawa na komputa unapoiona ipo slow, unarefresh kuibust, ni hivyo hivyo na na ubongo wa binadamu
 
Ungejiuliza kwanza sababu zinazomfanya mtu kula/ kutafuna kucha wala isingekupa shida
Wapo wanaofanya hivyo kwa stress au wanapokuwa wameboeka na hata njaa pia au upweke kwa wengine
 
Mleta mada sijui akili yako imeumbwaje? Sasa mambo ya mtu kula kucha yamekuumiza nini mpk unatokwa na povu hapa? Kwanza ujue kuna watu kula kucha ni tabia ambayo kuiacha sio rahisi sana na kula kucha hakumaanishi kwamba haja concentrate! Kuna mtu tunae job ana familia ya watoto 3 lkn imeshindikana kuacha kula kucha sasa wewe endelea kufuatilia minor issues
 
Tatizo hilo ni la kitaalamu, wengine wanasema kula kucha ni ishara ya stress na wengine wanasema ni upungufu wa madini fulani mwilini etc
Tafiti bado zinaendelea
 
Mkuu mimi ni mme wako?..kilichokufanya ulete shobo zako hapa nini?
Una hisa kwenye kucha za Bashe? Ule ni mwili wake hata akitaka alambe kamasi zake huwezi kumzuia, fanya kinachokuhusu.

Vinginevyo unavyom-care ni kama unaonesha wazi kuwa unaweza kuwa mke bora kwake.
 
Mleta mada sijui akili yako imeumbwaje? Sasa mambo ya mtu kula kucha yamekuumiza nini mpk unatokwa na povu hapa? Kwanza ujue kuna watu kula kucha ni tabia ambayo kuiacha sio rahisi sana na kula kucha hakumaanishi kwamba haja concentrate! Kuna mtu tunae job ana familia ya watoto 3 lkn imeshindikana kuacha kula kucha sasa wewe endelea kufuatilia minor issues
Mkuu we yako imeubwaje..kwanini unaleta shobo kwenye mambo ya shobo?acha kushobokea mambo ya kiume
 
Tatizo hilo ni la kitaalamu, wengine wanasema kula kucha ni ishara ya stress na wengine wanasema ni upungufu wa madini fulani mwilini etc
Tafiti bado zinaendelea
At least mkuu you have a ward,kuna waswahili humu ndani wao kzimbabwean mada lazima wachangie hata kama ni utumbo.
 
Back
Top Bottom