Waziri augua ghafla...apelekwa nairobi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri augua ghafla...apelekwa nairobi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sajenti, Mar 12, 2010.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Naibu waziri wa fedha Jeremia Sumari aliugua ghafla ofisini kwake Dar es Salaam na kulazimika kukimbizwa mjini nairobi kwa matibabu. Bado chanzo cha kuugua kwake hakijafahamika, lakini watu wa karibu yake walisema walilazimika kumkimbiza katika hospitali nairobi kutokana na foleni kwenye hospitali za Dar es Salaam.....

  Source: Majira
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo Nairobi kuna hospitali bora zaidi ya kwetu?
  Boresheni mahospitali yetu ya si wanyonge nyie mkiugua mnakimbizwa nje ya nchi mlalahoi akiugua ndo basi tena mauti yanamkuta.
   
 3. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tell me this is a joke
   
 4. HeartBreak

  HeartBreak JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2010
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ......sisi tutafia tanzania..
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ni aibu kwa serikali na Taifa kwa ujumla tena kaugua akiwa Dar alafu anapelekwa Nairobi ile Muhimbili sio hospitali wanakijua wanacho kifanya ndo maana tiba zina dorola.
   
 6. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hawa jamaa hawako serious, ndo kusema wanaopanga foleni hapa dar maisha yao hayana thamani? kutoka ofisini kwake hadi airport na foleni hizi, na kutoka airport nairobi hadi hospital, kwa wale waishio nairobi pia wataconfirm foleni zilivyo jiji lile, inachukua muda gani? watueleze vizuri waache propaganda. Hata hivyo namrtakia afya njema.
   
 7. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2010
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hivi hospitali zetu zinashida gani mie sielewi, msaada tutani.
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  This is another reflection ya "sisi" na "wao"
  viongozi wetu wana better quality of life
  we dont deserve to be treated outside

  Once again, we run naked to our neighbours
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hizi ni dharau jamani tena kabisa mtasikia kahamishiwa Apolo- India nyie subilini.
  Swala sio foleni ni dharau tu hapo.
   
 10. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ina maana madocta wetu Muhimbili,Bugando au KCMC hawawezi kumtibu Waziri huyu?
  Jamani tunaelekea wapi?

  It is sad story ya nchi hii!
   
 11. JS

  JS JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  This is a F*****g bullshit huezi niambia eti hosp zetu zina foleni. Kujidai tu wajinga hawa. Where did he grew up?? Si tanzania hii hii yenye hosp za foleni????
   
 12. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Mbona Maalim Seif ....?
   
 13. Liz Senior

  Liz Senior JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2010
  Joined: Apr 19, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  si kuna fast-track system hata muhimbili? Au!
   
 14. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,819
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  DN, nakubaliana na wewe lakini tukiamu we are more than wao, i mean wananchi tuna nguvu kuliko wao, haya ma-class ndio yatakayotuua
   
 15. senator

  senator JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Duh Foleniiii???ebwana hvi huyu si mheshimiwa hana upendeleo kwenye matibabu? hiyo kauli ya foleni imenishangazaa kweli
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hehehehehe Punguza hasira.
  Miafrika ndivyo tulivyo.
   
 17. Amigo

  Amigo Senior Member

  #17
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 150
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wasitake kusingizia foleni kwanza mtu kama waziri akipelekwa Muhimbili hua kuna huduma za VIP za viongozi hawezi kupelekwa Muhimbili akapanga foleni, sema hapo kuna jambo linafanyika nyuma ya pazia.Sio kusingizia foleni.
   
 18. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,819
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  tuchukue hatua anayedharau tunakotibiwa na kura zetu pia hazimfai. Tafakari, chukua hatua
   
 19. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #19
  Mar 12, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Serikali ya comedy hii!
  Inashindikana nini?..ni wapi kuna shida?...halafu mnatukimbiza kwenye shirikisho wakati mnajua ni aibu tupu!
   
 20. JS

  JS JF-Expert Member

  #20
  Mar 12, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hii pia ni reflection aliyoitoa Mwanakjj kwenye thread ya jana au juzi tunakimbilia nchi za nje kwenye matibabu wakati we have our own experts here at home. Halafu mwisho wa siku wanasema health sector imekuwa ignored blah blah blah wakati hiyo nauli na hela ya matibabu na accomodation could easily be injected in our own hospitals na kuboresha instead of kupeleka Nairobi kwa case hii. Mind you, hapo lazima kaenda na kigroup cha watu cha pembeni.
   
Loading...