Waziri augua ghafla...apelekwa nairobi

Huyu si yule yule huko kwao walimjia juu wakati fulani kwamba amekuwa "mzungu" mpaka jina kabadili walikuwa wanamjua kama Jeremia ghafla karudi kutafuta ubunge anaitwa Jeremier! [Yale matamshi yakawafanya wakwao wamjie juu]
 
Serikali ya comedy hii!
Inashindikana nini?..ni wapi kuna shida?...halafu mnatukimbiza kwenye shirikisho wakati mnajua ni aibu tupu!
PJ, wanatukimbiza hili wapate kwa urahisi hizi huduma na nyinginezo kwani wanajua watanzania wengi we dont ask wala ku-complain wala kutake action.........tushtuke....ndio wakati uliowekwa
 
Ni aibu kwa serikali na Taifa kwa ujumla tena kaugua akiwa Dar alafu anapelekwa Nairobi ile Muhimbili sio hospitali wanakijua wanacho kifanya ndo maana tiba zina dorola.
...Fidel, hiihabari imenikumbusha kitu kimoja. kuna ukarabati ulifanyika pale muhimbili na muda si mrefu wodi zilizokarabatiwa vitu vikawa vinabomoka kama vile tiles, vitanda na waziri wa afya alipokwenda kutembelea akahoji kama ukarabati ule unalingana na fedha iliyotumika.....Nilijiuliza maswali mengi sana na mwisho ni kimya mpaka leo..Kumbe wao wakipata mafua haooooooo!!!!
 
Hehehehehe Punguza hasira.
Miafrika ndivyo tulivyo.


YAni Fidel kwa kweli inatia hasira sana tu na inauma pia. hapa nilipo ungeniona nilivyokunja sura ungecheka mwenyewe. Huu ni upuuzi ambao cant be tolerated kabisa anymoa. Mie mwananch wa kawaida naunga foleni mwananyamala au muhmbili etc kwani siponi??? Yeye kisa cha kuwa tu naibu waziri ndo akimbizwe Nbi?? Wakenya watakua wanatushangaa sana Watz tunavyofanya mambo ya ajabu.
 
Mkataa kwao na ya kwao ni mtumwa..........watawala wetu ni watumwa wabobevu
 
Hii haijakaa sawa.

Anaugua Dar, kabla hata ya kupata uchunguzi wa msingi kujua tatizo ni nini huyooooooo

Huduma ya kwanza mamia ya maili toka Dar.Mh!

Kwa hiyo sisi ndio wa kusimama kwenye foleni kusubiri kutibiwa na ma Clinical Officer yeye hawamfai?

Na akirudi haulizwi wala nini. Inauma. Nina ndugu zangu wengi ( kule Tabora, Pemba, Kigoma, Rukwa etc) wana magonjwa yanayohitaji tiba zisizopatikana Tanzania lakini wanapigwa danadana...waziri yeye, ah!
 
Kuna scenario inayoweza kumfanya mtu apelekwe Naii kwa matibabu badala ya hospitali au hospital nyingine hapa Dar. Kwa mfano kuna watu ambao wana health insurance ambako wako entitled na hiyo huduma ya kupelekwa nje ya nchi. Au pengine anahitaji huduma special ya kitabibu ambayo haipo Tanzania.

Hii hutokea hata duania ya kwanza, mgonjwa kutoka USA akaenda tibiwa German au Mgonjwa toka UK akaenda tibiwa US.

Cha kushangaza kwenye issue ya Mh Sumari ni sababu iliyofanya apelekwe Naiii, ambayo ni kuwa barabara za Dar kuwa na foleni. Je alikwenda Naii kwa ndege au helkopta, kama ni helkopta hewala inatua popote. Kama ni ndege nadhani ilibidi apelekwe airport, sasa sijui airport na muhimbili wapi mbali kutoka ofisini kwa waziri.

Any ways. Tanzania ni zaidi ya uijuavyo.
 
Hivi haiwezekani siku moja wadanganyika tukiamua kuingia barabarani kupinga hizi habari za hawa viongozi kwenda kutibiwa nje ya nchi kwa pesa zetu? Inaweza kusaidia kidogo hizo pesa zikaingia kuboresha hospitali zetu humu nchini?

Kibaki alipozuia mawaziri wake kusafiri nje ya nchi wameokoa dola 2ml.mi nadhani hatuajaamua tu kufanya kweli na ndio maana wanatufanyia hizi dharau hawa.
 
Ninachoelewa hizo tiba sio free huko nairobi japo nadhani serikali ya tanzania ndio italipa. Si bora hizo hela wangelipia hospitali za tanzania ili kuziboresha
 
Hii ni African syndrome.Kuna mwaka fulani ,i guess 1993 hivi,Museveni alichukua presidential jet,mtoto wake wa kike alikuwa mjamzito,na kumpeleka Ujerumani kuzaa.Mu7 alisema kuwa usalama wa familia yake ni wa mbele ,maana haamini akizalia Uganda.It was a total joke.

Mrema na Warioba walikwenda majuzi tu,India na Sauz respectively.Hata Diabetes tu lazima ikurushe India/Sauz?

Naanza kuona kuwa hawa watu wanapokwenda nje ,wanaficha magonjwa yao.Na sasa at least kuna free media,nafikiri wanaogopa watajulikana !
 
Hivi haiwezekani siku moja wadanganyika tukiamua kuingia barabarani kupinga hizi habari za hawa viongozi kwenda kutibiwa nje ya nchi kwa pesa zetu? .
Tuingie kwenye masanduku ya kupigia kura wajameni ndiyo njia sahihi kabisa, inawezekana
 
Ninachoelewa hizo tiba sio free huko nairobi japo nadhani serikali ya tanzania ndio italipa. Si bora hizo hela wangelipia hospitali za tanzania ili kuziboresha
Freeeeeeeeeeeee!!!!??? Wewe acha kabisa.....Wakenya ni watu wabahili EA nzima
 
kinachosikitsha ni sababu ya kipuuzi ya foleni; remember
kutoka kwake hadi airport its not less than 30 minutes hata kama anapishwa kama rais
inachukua zaidi ya 20min kumaliza procedures za kuondoka nchini na kuanza safari
unachukua 1 hour to reach there (hapa taxinf imepewa consideration)
unachkua another 20 minutes ku-evacuate ndege na kuingia ambulance
nairobi kuna foleni kuliko dar so give it 40 min (akiruhusiwa kupita kama kibaki)
Halafu tunaassure jamaa pale hospital watachukua 10mminutes kumaliza kazi
total time spent 3 hours----jamani!!! hata iweje, ni kweli hospitali inaweza kumweka 3 hours waiting kama kuna foleni??
akiingia A&E wing au kwa mikwara ya ambulance atasubiri kweli?

MR SUMARI, TELL YOUR PEOPLE TO BE A LITTLE SMARTER WHEN ADDRESSING THE PUBLIC... NINYI MMEDHARAU HUDUMA ZETU AMBAZO TUMEWAPA DHAMANA YA KUZIENDELEZA NA KUZILINDA
 
Naibu waziri wa fedha Jeremia Sumari aliugua ghafla ofisini kwake Dar es Salaam na kulazimika kukimbizwa mjini nairobi kwa matibabu. Bado chanzo cha kuugua kwake hakijafahamika, lakini watu wa karibu yake walisema walilazimika kumkimbiza katika hospitali nairobi kutokana na foleni kwenye hospitali za Dar es Salaam.....

Source: Majira

lalingeni na gazeti la majira acheni utani kwa watanzania
 
ICU hapo juu hujampata vyema isae...anasema sio free which means the govt of TZ have to pay for it!!
 
Back
Top Bottom