zahiri ulaya
Member
- Nov 29, 2015
- 58
- 30
Hata humu ndani kuna wapiga debe tena wanatukana zaidi ya wale wa Ubungo. Naomba admin wa jf tumia sheria Kwa wapiga debe wa matusi ndani ya jf
LUMUMBAMashamba yako wapi sasa hapa dar.
Unapajua matombo mkuu? Napendekeza kambi nyingi zijengwe huku na wawalete huku.....muda wote ardhi inamelemeta kwa kushiba virutubisho.....maji bado yanatiririka toka miliman.....waje matombooo....Mmmmh mkuu Mh Magu kasema wakamatwe wakalime, ndo twauliza wapi wataenda fanyia hicho kilimo, si dhambi tukijua
Mapenzi hayana samahani, Na mimi sita omba samahani:-
Wavivu kuongea ni kina nani?Chukua na wale wavivu wa kuongea Wapeleke maporini huko wakafyeke mashamba,
Yaani nyani haoni kunduleMbona yeye alikuwa mpiga debe stand ya mabasi dodoma?

Upiga debe umepunguza Wezi ila umeongeza Vibaka na Wala unga.Hawa jamaa huwa wanaingiza zaid ya buku 10 kwa siku .. Mi naona watafutiwe utaratibu , sabab hii haitapunguza uhalifu , bali itaongeza mara dufu , awa jamaa wengi wao ni watu walioadhirika na unga / weed .. Serikali isikurupuke hapa , hawa watu sio wacheza pooltable , hii ni kazi yao , inayowaingizia kipato chao cha kila siku , though inawezekana kuwa ni kweli wanafanya uhalifu ,lakin lets admit , in the past few years vitendo vingi vya upakuaji vimepungua kwa asilimia kubwa sana , hata wezi kuchomwa moto siku Dar hatusikii sana . kuna uwezekano wa kuzika vijana wengi sana kama serikali itakurupuka na kuziba hata hii mianya michache wanaotumia hawa vijana kujipatia ulaji wao .
Matombo kilugha chetu ni tusi mkuuUnapajua matombo mkuu? Napendekeza kambi nyingi zijengwe huku na wawalete huku.....muda wote ardhi inamelemeta kwa kushiba virutubisho.....maji bado yanatiririka toka miliman.....waje matombooo....
Oyaaaa mwanangu hili shamba linaenda moro...moro...
Akishtuka kumbe yupo shamba
MatejaWavivu kuongea ni kina nani?
SIKU moja kupita baada ya Rais John Magufuli kuwaagiza wakuu wa mikoa wapya kuwakamata vijana wote ambao wanacheza (poolTable) nyakati za asubuhi,kwa madai kuwa wajiingize kwenye shughuli za ufanyaji kazi,
Naye,Waziri nchi ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mtaa,George Simbachawane amemtaka mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuhakikisha anawaaondoa wapiga “debe” wote kwenye vituo vya mabasi kwa madai kuwa wanafanya vitendo vya kihalifu. Waziri Simbachawene ametoa agizo hilo leo Jijini Dar es Salaam,wakati wa semina kwa wakuu wa mikoa wote nchini ambao waliapishwa jana na Rais Magufuli,
Ambapo alitumia nafasi hiyo kwa kusema kazi ya kupiga debe sio rasmi na aina kipato kitachoweza kumkwamua kijana kuondokana na tatizo la umasikini,
“Yaani hata hapa Dar es salaam namuomba mkuu wa mkoa ahakikishe anawondoa hawa wapiga debe kwenye vituo vya mabasi kwani wamekuwa wakichangia kutokea kwa uharifu,kipato cha mpiga debe kwa siku hakiwezi kumkwamua kimaisha sana sana wanatumia nafasi hiyo kufanya uharifu wanatakiwa kuondolewa haraka waende kwenye kazi hata za kilimo”amesema Simbachawene.
Hata Hivyo Waziri Simbachane ametumia nafasi hiyo kuwataka wakuu wa mikoa kufanya kazi kwa ufasaha na kuwatumikia wananchi ikiwemo kutekeleza ilani ya chama cha Mapinduzi CCM.
hivyo inaonesha anasema kitu anachokifaham kabisa. kama kasema hailipi na unasema aliwah kuwa mpiga debe basi ni wazi kuwa ana ushahidi na hiyo kazi kuwa hailipi. hongera sana waziri.
Nasubiri kuona hilo likitekelezwa uone robber zitakavyoongezeka mtaani,hapo teja kakosa pesa ya kete ukikoswa kabali watapita nyumba kwa nyumba kuiba hata malapa ,itafutwe njia sahihi ya kupunguza vijana kuingia kwenye madawaHawa jamaa huwa wanaingiza zaid ya buku 10 kwa siku .. Mi naona watafutiwe utaratibu , sabab hii haitapunguza uhalifu , bali itaongeza mara dufu , awa jamaa wengi wao ni watu walioadhirika na unga / weed .. Serikali isikurupuke hapa , hawa watu sio wacheza pooltable , hii ni kazi yao , inayowaingizia kipato chao cha kila siku , though inawezekana kuwa ni kweli wanafanya uhalifu ,lakin lets admit , in the past few years vitendo vingi vya upakuaji vimepungua kwa asilimia kubwa sana , hata wezi kuchomwa moto siku Dar hatusikii sana . kuna uwezekano wa kuzika vijana wengi sana kama serikali itakurupuka na kuziba hata hii mianya michache wanaotumia hawa vijana kujipatia ulaji wao .
Mbona yeye alikuwa mpiga debe stand ya mabasi dodoma?
Wapelekwe msoga kwa Mzee. Tumechoka na ndole wanazotupiga mifukoni.Kwa hiyo wanapelrkwa kulima wapi?