shetani mweusi
Senior Member
- Jun 30, 2014
- 132
- 116
Hakuwa Mpiga debe bali laikuwa Kondakta na mkata tiketi za mabasi kuna tofauti ya mpiga debe na kondakta
mashambaniKwa hiyo wanapelrkwa kulima wapi?
ha ha ha ha! kuna vijana wapiga debe walikuwa wakipewa pakiti za viroba wakilewa utasikia ccm eyoooo! then hapa kazi tu! nahisi huu msemo hawakuuelewa SASA KAZI TU NA NI KAZI KWELI KWELI Sizonje oyeeeee!sipati picha hizo kabali na ngeta tutakazo pigwa mitaani.chezeya wapiga debe wewe.
Mkuu ukiona tumbili mjini jua ana mwenyewe, mtazamo wa haraka utaona wapiga debe waliochoka kwa kutumia unga bangi na viroba lakini behind the scene sivyooo!,hao wanatumiwa tu lakini kuna wenyewe wanaomiliki hivyo vilinge na kila siku hupita vilingeni kukusanya mapato yao kila siku.Hata mimi huwa sioni umuhimu wa wapiga debe.
huwezi kuishi kutegemea kutafuniwa kila kitu, wanaolima wametafutiwa na nani maeneo?Kwa hiyo wanapelrkwa kulima wapi?
Tayari mkuuKABLA YA YOTE JE? WAMESHAANDAA MAKAMBI
falcon heshima yako mkuu. Afadhali umebadilisha avatar yako dahSafi sana
Mashamba yapi?M
mashambani
Mkuu Yan huku mtaani tutakoma kwa sbb watageuka vibakaTatizo siyo kuwaondoa bali waende wapi?
Sidhani kama wakazi wa Tandale wamemiss kabari za misumari mitaani kwao
Mmmmh mkuu Mh Magu kasema wakamatwe wakalime, ndo twauliza wapi wataenda fanyia hicho kilimo, si dhambi tukijuahuwezi kuishi kutegemea kutafuniwa kila kitu, wanaolima wametafutiwa na nani maeneo?
Yeye alishakuwa kondakta kwa hiyo anaijua vema shughuli ya stendi. Je atawaweza mziki wa hao jamaa?SIKU moja kupita baada ya Rais John Magufuli kuwaagiza wakuu wa mikoa wapya kuwakamata vijana wote ambao wanacheza (poolTable) nyakati za asubuhi,kwa madai kuwa wajiingize kwenye shughuli za ufanyaji kazi,
Naye,Waziri nchi ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mtaa,George Simbachawane amemtaka mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuhakikisha anawaaondoa wapiga “debe” wote kwenye vituo vya mabasi kwa madai kuwa wanafanya vitendo vya kihalifu. Waziri Simbachawene ametoa agizo hilo leo Jijini Dar es Salaam,wakati wa semina kwa wakuu wa mikoa wote nchini ambao waliapishwa jana na Rais Magufuli,
Ambapo alitumia nafasi hiyo kwa kusema kazi ya kupiga debe sio rasmi na aina kipato kitachoweza kumkwamua kijana kuondokana na tatizo la umasikini,
“Yaani hata hapa Dar es salaam namuomba mkuu wa mkoa ahakikishe anawondoa hawa wapiga debe kwenye vituo vya mabasi kwani wamekuwa wakichangia kutokea kwa uharifu,kipato cha mpiga debe kwa siku hakiwezi kumkwamua kimaisha sana sana wanatumia nafasi hiyo kufanya uharifu wanatakiwa kuondolewa haraka waende kwenye kazi hata za kilimo”amesema Simbachawene.
Hata Hivyo Waziri Simbachane ametumia nafasi hiyo kuwataka wakuu wa mikoa kufanya kazi kwa ufasaha na kuwatumikia wananchi ikiwemo kutekeleza ilani ya chama cha Mapinduzi CCM.
Hehehe kwanini mkuu?duuuh kumbe huwa unanionaga?falcon heshima yako mkuu. Afadhali umebadilisha avatar yako dah