Waziri Angela Kairuki atofautiana kauli na Katibu Mkuu Utumishi Dr. Ndumbaro

harafu kuwa muelewa hivi mtu umeacha kazi private watakulipa fidia gani acha kutetea vitu vya ovyo jambo kama hili alijawai tokea

Ndicho alichosema Paschal hapo juu: Wanayo haki ya kulalamika na kudai fidia ya hasara waliyopata. Lakini kimsingi ukiwa kwenye probation period, unaweza kufutwa kazi kama ilivyofanyika. Paschal is right...
 
Mimi sio mtaalam wa sheria za kazi bali nimewahi kuwa mtumishi wa umma.

Hii ya mshahara wa mwezi mmoja ni standard rate in lieu of a notice regardless mkataba wako ni wa aina gani.

Ajira za umma ziko za aina tatu, ajira za serikali kuu, ni permanent na pensionable, ajira kwenye independent departments ni contractual extendable, na ajira za kwenye executive agents ni fixed contracts. Haijalishi status ya mkataba wako, ukikatizwa mkataba wakati uko kwenye probation kabla hujaanza hiyo probation, stahili yako ni mshahara wa mwezi mmoja, subsistence, na nauli yako, familia na mizigo, na hawana compensation yoyote nyingine.

Paskali

Paschal, kuna aina tatu tu za Mikataba kwa mujibu wa sheria zetu za kazi: Contract of unspecified period of time (Permanent Contracts), Contract for specified period of time (Fixed term Contracts), na Contract for Specified tasks. Nafikiri kwenye Independent departments wanatumia Permanent contracts as well, na kwenye Executive Agencies wanakuwa na Fixed term contracts.. Wataalam wa maeneo hayo wanaweza kutujuza vizuri...
 
Asante, hizi zinazopigiwa kelele ni ajira za serikali permanente na pensionable.

Paskali
 
Back
Top Bottom