Waziri akiuchapa usingizi bungeni

Nikupateje

JF-Expert Member
Dec 22, 2009
1,334
988
Wakuu,

Picha hii ni jinsi Naibu waziri wa Ushirikiano Africa Mashariki, Mhe. Waziri Dr. Abdulla Juma Saadala akiwa amesinzia bungeni.
{Source: MWANANCHI: JUNE 21, 2011: Pg. 04}

Halafu eti wanasingizia wanaandamwa na media!
 

Attachments

  • Waziri Bungeni.jpg
    Waziri Bungeni.jpg
    143.6 KB · Views: 1,066
Tumewazzoe hao......wanakunywa uji kabla ya kwenda kikaoni,i saw him on mwanamnch uk wa 4
 
Posho wanazopewa hawa ni nyingi na zinawasababishia pilika plika nying
attachment.php
i.
 
Jamani tutofautishe kuchapa usinginzi na kumakinika, yaani kusikiliza kwa makini. Hawa Wa CC Magamba ndio staili yao hii ya 'kusikiliza kwa makini' tokea enzi za Mwalimu!! Ukimzindua tu atakutambia mstari kwa mstari hotuba ya Mhe Dr. Prof. Eng. Generali Mstaafu Kalumekenge aliyokuwa akiitoa!!!
 
Wakuu,

Picha hii ni jinsi Naibu waziri wa Ushirikiano Africa Mashariki, Mhe. Waziri Dr. Abdulla Juma Saadala akiwa amesinzia bungeni.
{Source: MWANANCHI: JUNE 21, 2011: Pg. 04}

Halafu eti wanasingizia wanaandamwa na media!

...Msameheni jamani, anawake watatu mmoja mtu wa Lindi, wapili anatokea Pemba na watu sikumbuki vizuri anatokea wapi, na huko Dodoma anakesha na vimada unategemea asisinzie!!? huyu mke mmoja niliyenaye ananitoa jasho sembuse watatu!!
 
Hizo seat nazo ndio zinasababisha wanauchapa usingizi........wangewekewa mabenchi......!!!
 
Back
Top Bottom