Waziri aibiwa akiwa gesti

Usijekuta alikuwa anajaribu kufuata nyendo za MACHEMLI.
 
Ls man-19:34 Today-
Kama kuna mtu ana gazet la mtanzania(kma sikosei)habr hii imeandikwa vzr zaidi, kuwa wazr aliingia na mtu kulala, na taarifa zilipofika polic wazr akataka zisiwe puplic!! Ili kutunza hadhi yake,,, hii nchi bwana michepuo diliiii

so alijifanya baby anapenda kunyonyaaa... safi sana!
 
Mboni kicheko? Hivi umesahau ukipinda kona ukachepukia barabara yenye tope na mashimo kuna faida na hasara?Utafika haraka lakini angalia spring za gari yako!

Na pili yake amechukua haki yake yaani kodi yake na part ya keki ya Taifa,upo?

nimekupata mkuu.
 
Huwezi kupewa kazi ya umma halafu unaishi kihunihuni mabarabara yapo tele ............ By J NYERERE .My take Mheshimiwa anapaswa kujiuzulu kwa mujibu wa baba wa Taifa mwasisi wa ccm.
 
Hii ni aibu na fedhweha kwa waziri kulala guest na hata kuibiwa.

Hivi jamani huo TZ mawaziri wanalala ovyo ovyo tu bila kuwa na taarifa zao katika vyombo vya dola vya sehemu alipo?

Au alikuwa na Mchepuko akaamua kujificha. Siku nyingine wanaweza io tu kuibiwa bali kuuwawa na hiyo michepuko yao?.
 

Tusubiri utetezi
 
Hakujifunza kwa Adam Malima? Hawa watakuwa ndugu na Malima!!! Mnawapangisha macd wenyewe wakiwaliza mnaaza lia lia!!
 
Hakujifunza kwa Adam Malima? Hawa watakuwa ndugu na Malima!!! Mnawapangisha macd wenyewe wakiwaliza mnaaza lia lia!!

Siku ya Jumamosi Bariadi kulikuwa na Shindano la kumtafuta miss Simiyu na mh. alikuwepo kwenye show..
 
Upuuzi katika hatua ya mwisho hivi Waziri unalala guest house za uswahilini unategemea nini kwanini asingeenda Mwanza? Aibu kubwa sana bora wangemuiba nayeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…